Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

MPWAA SOMA BIBLE WANAWAKE AWAJAHI PENDA MWANAUME ATAMPENDA MKEWE MKE ATAMHESHIMU UKIONA AKUHESHIMU KIMBIA ANAKIUKA MAANDIKOOO

MKEWANGU NAMWAMBIAGA TUKIPATA DOmPO AUJAWAHI WALA UTAKAA UNIPENDE ILA USIPONIHESHIMU NAKUACHIA MPAKA NA KODI YANYUMBA
Haina pingamizi hiyo...hawa viumbe hawana upendo na kiumbe wa kiume
 
Weka picha zao tuwaone, vinginevyo huu ni umbea tu
Huo ndio umbea sasa... Unataka picha hili iweje sasa, ukasambaze? Je ukikuta ni mke wako ndio anasema hivyo..., mimi sitaki murder case
 
Huo ndio umbea sasa... Unataka picha hili iweje sasa, ukasambaze? Je ukikuta ni mke wako ndio anasema hivyo..., mimi sitaki murder case
Wanaume tunakuwa na makoromeo, kazi yake ni kuzuia umbea kama huu uliouleta, yaani unasikia watu wanaongea mambo yao, wewe chap kwa haraka uko JF, HAUNA TESTESTERONE
 
Hii kesi huwa inatokana na outgrow.

Wanawake na wanaume ikitokea mmoja wao -Ame-outgrow kumzidi mwenzie hii hupelekea watu wanaoishi pamoja kuanza kupishana .

Hii outgrow ndo huwa inatokea hata katika urafiki unapokua na marafiki wakawa hawajukua ,ila tayari ww umekua huwa mnaanza kukwepana na hatimaye urafiki kupotea.

Kuishi na MTU hutegemea zaidi vigezo vya ndani . na upendo ndipo hujengeka ,kukua na kuendelea kuwepo.

Pesa , au kufanikiwa huwa havimuweki MTU mbali na watu wake Ila outgrow ndo humfanya MTU kuona wale watu hawapo kwenye fikra zake tena. Na kuamua kupenda kukaa na watu ambao wataongea lugha moja.
 
True brother, Ni hesabu fupi tu...
Hayo ndo madhara ya wao kusubiri hadi watongozwe, Wao pis wana watu wao ambao waliwapendaga before ila waliona noma kuwaambia hisia zao kwa sababu ya hii mentali ya kwamba mwanamke hatongozi.

Mwisho wa siku inambidi mwanamke huyo awe na options za katika wale ambao watamfuata kumtongoza na hapo ndipo hukuta waangozwa na machaguzi ya nje na kupuuza hisia zao na hapo ndo kifungo chao huanza maana itambidi kuishi na mtu ambae pengine alimkubali kutokana na kazi,status au kipato na issue inakujakuwa kwenye kupishana kihisia.

Katika hili pia wanaume wenzangu mjifunze, Kama mnajitaji wapenzi wa kweli acheni kutumia effort kubwa kulazimisha kukubaliwa... Pisi ikikuletea ugumu sana jua kwamba haina hisia na wewe, Punguzeni hizi swagga za kujifanya mnahonga sana, Mara mna-care sana maana mwisho wa siku mtaishia kupewa fake -Yes maana upendo haununuliwi.
 
Njaa ndio zinawafanya waolewe
Yes... Wengi wao... Binti akikuona una kakazi au uhakika wa milo miwili au mitatu anajisogeza... Unajikuta unaoa... Wengine wanaolewa kwa sababu tu ya umri unakwenda.

Mfano watu wa pwani, mdogo mtu hawezi kuolewa wakati dada mtu bado au kabla hajaolewa... Familia italazimisha Dada mtu aolewe na mtu yoyote haraka ili kupisha mdogo mtu aolewe
 
Hii kesi huwa inatokana na outgrow.

Wanawake na wanaume ikitokea mmoja wao -Ame-outgrow kumzidi mwenzie hii hupeleea watu wanaoishi pamoja kuanza kupishana .

Hii outgrow ndo huwa inatokea hata katika urafiki unapokua na marafiki wakawa hawajukua huwa mnaanza kukwepana na hatimaye urfiki kupotea.

Kuishi na MTU hutegemea zaidi vigezo vya ndani . na upendo ndipo hujengeka ,kukua na kuendelea kuwepo.
Sahihi kabisa
 
True brother, Ni hesabu fupi tu...
Hayo ndo madhara ya wao kusubiri hadi watongozwe, Wao pis wana watu wao ambao waliwapendaga before ila waliona noma kuwaambia hisia zao kwa sababu ya hii mentali ya kwamba mwanamke hatongozi.

Mwisho wa siku inambidi mwanamke huyo awe na options za katika wale ambao watamfuata kumtongoza na hapo ndipo hukuta waangozwa na machaguzi ya nje na kupuuza hisia zao na hapo ndo kifungo chao huanza maana itambidi kuishi na mtu ambae pengine alimkubali kutokana na kazi,status au kipato na issue inakujakuwa kwenye kupishana kihisia.
Very true
 
Over
 
Attachments

  • emoji119.png
    emoji119.png
    1.3 KB · Views: 6
Back
Top Bottom