Wanawake wengi wanaofanikiwa Kupata ndoa ni wale Wanaokabia Juu

kikao kinachofuata hatukualiki umetoa siri za kambi
 
Mimi nimeamua tusifanye mpaka ndoa

Hiyo mbinu nzuri. Na ukiimudu hiyo unaweza kuwa na wanaume hata 10 umewapa nafasi ya potential husband bila madhara kwako.

Atakaewai kukuoa ndie anakula tunda.

Usijifunge kuwa na mmoja tu siku akiondoka unakuwa amekupotezea muda kwa hasara

Hiyo mbinu ya kupaki bus ni rahis mwanaume kukutema akikutana na mtu anaempa mzigo. Hivyo wapange wengi
 
kikao kinachofuata hatukualiki umetoa siri za kambi

Nimewasaidia Mkuu wasijesema Kaka Yao Nina Roho mbaya

Alafu mbinu ya KUKABIA JUU mara nyingi ndio watu hujikuta wanahonga Mpaka majumba.

Mwanamke anayetumia mbinu ya KUPAKI BASI mara nyingi hata wakiolewa maisha yao huwa ya shida Sana. Hawatunzwi
 
Hiyo mbinu nzuri. Na ukiimudu hiyo unaweza kuwa na wanaume hata 10 umewapa nafasi ya potential husband bila madhara kwako.

Atakaewai kukuoa ndie anakula tunda.

Usijifunge kuwa na mmoja tu siku akiondoka unakuwa amekupotezea muda kwa hasara

Yaah Mbinu ya KUPAKI BASI itakupasa uwe na wanaume zaidi ya 10 kama Njia ya kureplace
 
Nimewasaidia Mkuu wasijesema Kaka Yao Nina Roho mbaya

Alafu mbinu ya KUKABIA JUU mara nyingi ndio watu hujikuta wanahonga Mpaka majumba.

Mwanamke anayetumia mbinu ya KUPAKI BASI mara nyingi hata wakiolewa maisha yao huwa ya shida Sana. Hawatunzwi
By the way karibu #Kataa Ndoa Siti yako ipo wazi mkuu
 
Tatizo nyinyi watu wa dar huwa mnachukulia lifestyle ya dar mnaikompea na nchi nzima.
Mikoani bado %kubwa ya vijana wanaozeshwa na na kulipiwa mahali na wazazi wao.
Mm mwenyewe mzee yupo ananisumbua nitafute mwanamke na nianze utaratibu wa kuoa mwezi wa 7 maana ndo ataweza kunilipia mahari kwa sababu atakuwa amevuna kahawa.
Aliniambia anitafutie mke nikakata nikamwambia nitatafuta mwenyewe alafu yeye anilipie mahari.
 
Elimu nzur Kwa sis vijana wakileo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…