hii mbinu ni ya kukabia juu kwa juu, imewaondoa jamaa zangu wawili kwenye chama cha kataaa ndoa,...huyu mmoja alikuwa mwamba haswa, alipokabwa juu kwa juu, akahama geto, akamwacha mwanamke getoni ye akapotelea kwenye kutafuta maisha,.. lakini alikuwa ameshachelewa kwani, alikuwa ameshaharibu,.....kakaa miaaka mitatu msumbuji migodini, siku anarudi home kwa wazazi wake, anakutana na mtoto wake yuko hom, na akaambiwa mkeo anakusubiri hapa, toka umtoroke mtoto wa watu akiwa na mimba, akaja hapa na tunaishi nae😳..ujanja kwisha akapewa mke, na anadunda nae mpaka saizi...