Wanawake wengi wanaofanikiwa Kupata ndoa ni wale Wanaokabia Juu

Wanawake wengi wanaofanikiwa Kupata ndoa ni wale Wanaokabia Juu

Sio Kila Mwanaume Ana Sifa Za Kuoa Na Sio Kila Mwanamke Anastahiri Kuolewa.

Na Ndio Maana Azz Ki Ameoa Mwanamke Asiyestahiri Kuolewa Ni Kwa Sababu Yeye Hastahiri Kuoa.
Kwa Hiyo Mbinu Zote Hizo Mbili Itategemea Kuna Watu Huu Ni Mwaka Wa Arobaini Hawajaoana.

Kuoa au kuolewa ni kukubaliana kuwa pamoja Kwa lengo la kuanzisha Familia.
 
Two points taken from Taikon wa Fasishi:-

1. Kukabia juu kwa juu- kumfuata adui/mshindani wako kule kule aliko na kumshughulikia ipasavyo

2. Kupaki basi- Kumsubiri mashindani akufuate ulipo ndipo uchukue hatua stahiki.

Which one of the two is better?
 
Zuchu yupo smart , she is going to beat the odds hakuna kumuacha 🤗

Zuchu anaganda na kuhakikisha hatoi nafasi hata Moja Kwa wanawake wenzake.
Ni kama wamemshindwa

Diamond mwenyewe imefikia Hatua Hana ujanja. Unajua mbinu ya kukabiwa Juu unajikuta umeingia kwenye mfumo na haufurukuti
 
hii mbinu ni ya kukabia juu kwa juu, imewaondoa jamaa zangu wawili kwenye chama cha kataaa ndoa,...huyu mmoja alikuwa mwamba haswa, alipokabwa juu kwa juu, akahama geto, akamwacha mwanamke getoni ye akapotelea kwenye kutafuta maisha,.. lakini alikuwa ameshachelewa kwani, alikuwa ameshaharibu,.....kakaa miaaka mitatu msumbuji migodini, siku anarudi home kwa wazazi wake, anakutana na mtoto wake yuko hom, na akaambiwa mkeo anakusubiri hapa, toka umtoroke mtoto wa watu akiwa na mimba, akaja hapa na tunaishi nae😳..ujanja kwisha akapewa mke, na anadunda nae mpaka saizi...
 
Yes Mimi nimependa Sana mbinu anayotumia zuchu .

Kukabia juu ndo mbinu nzuri na ya kisasa.
 
😂😂😂

Dadeki! Huyo mwanamke kafanya umafia.
Watu kama kina Intelligent businessman Dawa Yao ni hiyo. Wataishia tuu kulalama Golo la offside oooh! Refa kawabeba lakini ubao umesoma tayari😃
 
😂😂😂

Dadeki! Huyo mwanamke kafanya umafia.
Watu kama kina Intelligent businessman Dawa Yao ni hiyo. Wataishia tuu kulalama Golo la offside oooh! Refa kawabeba lakini ubao umesoma tayari😃
Hii mbinu, mi mwenyewe naigwaya kabisa kwani sina ujasiri kabisa wa kufukuza mwanamke....hii mbinu kataa NDOA tusipoangalia, itambeba mpaka mwenyekiti wetu.....bila shaka hii mbinu imetoka kwa shetani moja kwa moja....
 
Yes Mimi nimependa Sana mbinu anayotumia zuchu .

Kukabia juu ndo mbinu nzuri na ya kisasa.

Mimi nawajua vijana wengi wabishi ambao walikuwa Kataa ndoa Pro lakini shambulizi Hilo liliwamaliza Kabisa.

Binti kakukabia juu.
Anatekeleza majukumu yake kama Mke
Hana ubishani na wewe
Ni mpole na mstaarabu.
Anakusikiliza,
Unamfokea anaomba Msamaha hata kama KOSA ni Lako 😂😂

Mwisho unajishtukia kuona unamkosea HAKI na hastahili ubaya unaomfanyia.

Unasema Acha nimpe Nafasi nimtazame kwa miezi kadhaa huku ukijaribu kumtafutia makosa ili umfukuze, lakini huyapati.
Mwisho unakuwa umekwisha.

Unajiuliza, kwa Zama hizi kama nikimfukuza huyu ni mwanamke hani mwingine atakuwa Bora na mvumilivu kumshinda huyo. Mwisho unakata shauri na kujikuta unaanza kumpenda.

Kwisha
 
Back
Top Bottom