Wanawake wengi wanaofanikiwa Kupata ndoa ni wale Wanaokabia Juu

Kwa kukushauri fuata ushauri wa FRESHMAN
Mbinu hiyo haikuhitaji uwe na mwanaume Mmoja

Mwanaume mmoja atamkimbia kumuoa siku akikutana na mwanamke anaempa mzigo.. ..

Wanaume wengi wanaamini kupewa mzigo ni ishara ya upendo wa mwanamke.

Ni ngumu mwanaume kuacha kuoa anapopewa mzigo halafu akaoe anaponyimwa mzigo
 
Tatizo nyinyi watu wa dar huwa mnachukulia lifestyle ya dar mnaikompea na nchi nzima.
Mikoani bado %kubwa ya vijana wanaozeshwa na na kulipiwa mahali na wazazi wao.
Mm mwenyewe mzee yupo ananisumbua nitafute mwanamke na nianze utaratibu wa kuoa mwezi wa 7 maana ndo ataweza kunilipia mahari kwa sababu atakuwa amevuna kahawa.
Aliniambia anitafutie mke nikakata nikamwambia nitatafuta mwenyewe alafu yeye anilipie mahari.

Ukiona mzazi wako anaweza Kukulipia Mahari ujue familia yenu bado iko na system nzuri ya Familia
 
Ladies, ile game changer inayozungumziwa; ndiyo hii sasa
 
Attachments

  • 20241121_190410.jpg
    20241121_190410.jpg
    18 KB · Views: 3
Tatizo nyinyi watu wa dar huwa mnachukulia lifestyle ya dar mnaikompea na nchi nzima.
Mikoani bado %kubwa ya vijana wanaozeshwa na na kulipiwa mahali na wazazi wao.
Mm mwenyewe mzee yupo ananisumbua nitafute mwanamke na nianze utaratibu wa kuoa mwezi wa 7 maana ndo ataweza kunilipia mahari kwa sababu atakuwa amevuna kahawa.
Aliniambia anitafutie mke nikakata nikamwambia nitatafuta mwenyewe alafu yeye anilipie mahari.
Kiukwel una bahati sanaa ukiona familia inakupa support moyo pia unapata matumain
 
Hiyo mbinu nzuri. Na ukiimudu hiyo unaweza kuwa na wanaume hata 10 umewapa nafasi ya potential husband bila madhara kwako.

Atakaewai kukuoa ndie anakula tunda.

Usijifunge kuwa na mmoja tu siku akiondoka unakuwa amekupotezea muda kwa hasara

Hiyo mbinu ya kupaki bus ni rahis mwanaume kukutema akikutana na mtu anaempa mzigo. Hivyo wapange wengi
Utamponza huyo, kuna midfielders maestro kama Iniesta au Coutinho huwa zinapigwa pass za no look mzee hata uki park bus watu wamo kambani game over.
 
Wauaji wa ndoa
1. Uvivu unaua ndoa.
2. Tuhuma zinaua ndoa.
3. Ukosefu wa uaminifu unaua ndoa.
4. Ukosefu wa kuheshimiana huua ndoa.
5. Kutosamehe, uchungu, chuki, uovu, na hasira huua ndoa.
6. Hoja zisizo za lazima zinaua ndoa.
7. Kuweka siri kutoka kwa mwenzi wako kuua ndoa.
8. Uaminifu (kifedha, kihemko, kisaikolojia, nyenzo, nk) huua ndoa.
9. Mawasiliano duni huua ndoa.
10. Uongo kuua kwa urahisi ndoa; Kuwa mwaminifu na mwenzi wako katika kila nyanja.
11. Kuweka kipaumbele wazazi/familia juu ya mwenzi wako kuua ndoa.
12. Ukosefu wa au urafiki usio na furaha huua ndoa.
13. Nagging inaua ndoa.
14. Mazungumzo mengi na mazungumzo ya kutojali yanaua ndoa.
15. Kutumia muda kidogo na mwenzi wako kuua ndoa.
16. Kuwa huru sana huua ndoa.
17. Upendo kwa kuaga, pesa, ununuzi wa msukumo, na ujanja wa kifedha unaua ndoa.
18. Kufunua upungufu wa mwenzi wako kwa wazazi wako au nduguze huua ndoa.
19. Kupuuza mazoea ya kiroho na kutokuomba pamoja huua sio ndoa tu bali pia maisha yako.
20. Marekebisho ya kukera na kukemea kunaua ndoa.
21. Daima kuvaa uso wa kusikitisha na kuwa Moody kuua ndoa.
22. Utetezi uliokithiri wa wanawake huua ndoa.
23. Chauvinism ya kiume inaua ndoa.
24. Hasira isiyodhibitiwa na hasira huua ndoa.
25. Kutoelewa jukumu lako na jukumu lako katika ndoa kama ilivyoanzishwa na Mungu huua ndoa.
26. Kupuuza mahitaji ya kiroho, kihemko, na ya mwili wa mwenzi wako huua ndoa.
27. Kutishia usalama wa mwenzi itakuwa na athari mbaya kwenye ndoa.
28. Ukosefu wa ufahamu wa na utii kwa Neno la Mungu unaua ndoa.
 
Sante Sana
 
Ukiona mzazi wako anaweza Kukulipia Mahari ujue familia yenu bado iko na system nzuri ya Familia
Mfumo wa wazazi kuozesha na kulipia mahari watoto bado umekita mizizi hasa huku kanda ya ziwa sijajua maeneo mengine ya nchi.

Wazazi wenye tabia ya kukwepa majukumu ya kuozesha watoto wanafanya makosa, ndo wale wale wanao waambia watoto wao eti urithi walio wapa ni wa elimu tu mambo mengine wajipambanie.
 
Back
Top Bottom