Wanawake wengi wanaofanikiwa Kupata ndoa ni wale Wanaokabia Juu

Hii mbinu, mi mwenyewe naigwaya kabisa kwani sina ujasiri kabisa wa kufukuza mwanamke....hii mbinu kataa NDOA tusipoangalia, itambeba mpaka mwenyekiti wetu.....bila shaka hii mbinu imetoka kwa shetani moja kwa moja....

😂😂😂

Kwenye Biblia Mbinu hii ilitumiwa na Ruthi kwa Boazi.
Boazi hakuwa na chakufanya zaidi ya kuchekacheka tuu
 

Yes nimependa Sana zuchu akili yake
 
Hii mbinu, mi mwenyewe naigwaya kabisa kwani sina ujasiri kabisa wa kufukuza mwanamke....hii mbinu kataa NDOA tusipoangalia, itambeba mpaka mwenyekiti wetu.....bila shaka hii mbinu imetoka kwa shetani moja kwa moja....
Ha ha ha..😂
 
Mimi nawasapoti timu kataa ndoa kimyakimya

Nawashauri wapaki basi kupooza mashumbulizi!
 
Sio Kila Mtu Ana Faa Kuwa Na Familia.
Wewe nani mpk useme hivyo.. kama Mungu aliuweka huo mfumo maana yake kila mwanadamu anapaswa kuwepo humo
Hakuna asiyestahili ndoa.. kila mtu ni sawa mbele za Mungu… ni suala la muda tu na wakati sahihi

Mungu ndio hujua hatima ya mwanadamu
 
Uwape na hasara ya hii mbinu mkuu
Hii mbinu ilikuwa nzuri kwa miaka ya zamani kuliko miaka hii.. maana zamani ukikaa na mtu moja kwa moja wanakuhesabia ni mke ila now days unaulizwa tu una cheti cha ndoa?? Kama huna wewe huna cha kumkabia huyo mwanaume na atawaambia wanawake zake wote yupo single hajaoa wala hajawai oa

Maana wanaume wote hamfanani.. ukikutana na limwanaume lenye Roho mbaya anakuacha ndani.. anaenda kuoa mwanamke alietulia kwao akasubiri mwanaume amtake yeye kumuoa
Sogea tuishi sio ndoa mkuu lolote linaweza kutokea and what if mwanamke kapoteza 5 or 4 years with man then mwanaume anaenda oa mwanamke mwingine

Mimi siwezi shauri binti yangu afuate hii njia maana hasara ni nyingi kuliko faidaa na hasara kubwa sana ni kufanywa singomaza na kuumizwa moyo

Mabinti tulieni wanaume wenye nia watawaoa tu wakati wa Mungu ukifika sogea tuishi ilikuwa zamani sio kwa wakati huu
 
Hawa wanawake wa hapa kwetu sio kama unamuoa yeye, unaoa matatizo yake na ya ndugu zake yote. Sorry, mimi sio bwege kiasi hicho
 
Hii ni kweli 100%✓
 
😂😂😂

Sisi wanaume lazima tujilete kwenu kutokana na Miili yetu kuumbwa na kiu ya mara kwa mara.
Sasa wewe mwanamke Kwa kujua Hilo unatakiwa uandae Mpango Kazi mkakati kuhakikisha atakayejileta amekwisha
Nmeshindwa kuwa king'ang'anizi wallah
Na kukabia juu siwezi labda nipewe clear chance😅
 
Wewe nani mpk useme hivyo.. kama Mungu aliuweka huo mfumo maana yake kila mwanadamu anapaswa kuwepo humo
Hakuna asiyestahili ndoa.. kila mtu ni sawa mbele za Mungu… ni suala la muda tu na wakati sahihi

Mungu ndio hujua hatima ya mwanadamu
Mimi Naongea Kifalsafa Zaidi Kuwa Makini Na Coment Zangu Usiingie Kinguruwe Kunikosoa Utavamia Ukuta.

Kazi Ya Uumbaji Mwanadamu Ilishamalizwa Na Huyo Kiumbe Mwanadamu Akapewa Njia Ya Kuifuata Wapo Ambao Huifwata Njia Ya Mungu Wapo Wengine Hufuata Njia Ya Shetani.
Ndoa Ni Tendo Takatifu Linafaa Lifanyike Na Watu Watakatifu
Matatizo Mengi Ya Kwenye Ndoa Huwa Hiki Kipengele Kinakiukwa
We Unaona Sawa Mwanamke Ana Idadi Ya Wanaume Waliomgonga Kubwa Kuliko Idadi Ya Siku Alizonyonya Ziwa La Mama Ake?

Nadhani Akili Yangu Ni Juu Ya Mbingu Ya Fikra Zako Naomba Niishie Hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…