Aaah leejay siwezi kukukandia kama mwajuma ndala ndefu wewe ni wangu wa mileleNa atakavyoikandia sasa kama sio yeye aliyesema amefall nayo in love πππ€£π€£
Wizi mtupuπAaah leejay siwezi kukukandia kama mwajuma ndala ndefu wewe ni wangu wa milele
Laiti kama jamii yetu ingekuwa na watu kama wewe. Maisha yangekuwa bora kuliko yale aliyoyaahidi kikwete.Survival for the fittest.
Ukiyatazama maisha ya uswahilini utagundua ni maisha ya kustruggle kwa kila kitu.Upate hewa nzuri, kula, kwenda toilet.
Hii inamshape mtu kwa namna tofauti sana, kustruggle kuheshimika na kuwa recognized.
So it's a mental issue iliyojengengeka for so long mpaka inakuwa mazoea na lifestyle.
Hapo alipokujibu kwa dharau ni namna ya kutafuta kiheshimika kwa lazima. Nyuma ya ubongo wake kuna kitu anapambana nacho ambacho sasa kinaonekana kwenye namna anavyofanya kwa watu.
Siku nyingine muhurumie tu mtu wa aina hii.
For realAtleast yule hata ukimkataa anaelewa.
Sio hawa wa kuja kuchamba wanawake mtandaoni kisa tu hajajibiwa salamu na mtu mmoja
Ustaarabu ni kila kitu kwenye hii dunia.Laiti kama jamii yetu ingekuwa na watu kama wewe. Maisha yangekuwa bora kuliko yale aliyoyaahidi kikwete.
Attitudes walizonazo hao watu ni sababu ya aina ya maisha wanayoishi, mleta mada anadhani amepewa pekeake hiyo treatment, kimsingi hata sisi wanawake wenzao wana tutreat hivyo hivyo, potea njia msimamishe umuulize uone kazi π
Yamkini hawajui walitendalo maana linatokea natural kwao.
Hivi watu wanajua kuwa maisha mazuri huambatana na ustaarabu?
Binti kiziwi good analysis ntaachana na leejay sasa nikufukuzie weweLaiti kama jamii yetu ingekuwa na watu kama wewe. Maisha yangekuwa bora kuliko yale aliyoyaahidi kikwete.
Attitudes walizonazo hao watu ni sababu ya aina ya maisha wanayoishi, mleta mada anadhani amepewa pekeake hiyo treatment, kimsingi hata sisi wanawake wenzao wana tutreat hivyo hivyo, potea njia msimamishe umuulize uone kazi π
Yamkini hawajui walitendalo maana linatokea natural kwao.
Hivi watu wanajua kuwa maisha mazuri huambatana na ustaarabu?
Aisee ππππ€Aaah leejay siwezi kukukandia kama mwajuma ndala ndefu wewe ni wangu wa milele
πππ watasema hii ni ID yangu inajipigia debe ππMimi najua Leejay ni wa Mad Max tuππ
Khee!π€£π€£πππ watasema hii ni ID yangu inajipigia debe ππ
Lenie nisaidie kwa leejay nadata apaWizi mtupuπ
Nakaziaπππ watasema hii ni ID yangu inajipigia debe ππ
πππCompetition is serious πππ
Lenie mwajuma nishamuondoa moyoni mwangu sasa ivi yuko leejay
Kweli me sina imani na wewe ujueπLenie nisaidie kwa leejay nadata apa
Mimi ni kijana mstaarabu, mwenye upendo na mcha mungu kua na imani nifanyie udalaliKweli me sina imani na wewe ujueπ
Hapana kwakweliMimi ni kijana mstaarabu, mwenye upendo na mcha mungu kua na imani nifanyie udalali