- Thread starter
- #101
Aaah leejay siwezi kukukandia kama mwajuma ndala ndefu wewe ni wangu wa mileleNa atakavyoikandia sasa kama sio yeye aliyesema amefall nayo in love 😂😂🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah leejay siwezi kukukandia kama mwajuma ndala ndefu wewe ni wangu wa mileleNa atakavyoikandia sasa kama sio yeye aliyesema amefall nayo in love 😂😂🤣🤣
Wizi mtupu😅Aaah leejay siwezi kukukandia kama mwajuma ndala ndefu wewe ni wangu wa milele
Laiti kama jamii yetu ingekuwa na watu kama wewe. Maisha yangekuwa bora kuliko yale aliyoyaahidi kikwete.Survival for the fittest.
Ukiyatazama maisha ya uswahilini utagundua ni maisha ya kustruggle kwa kila kitu.Upate hewa nzuri, kula, kwenda toilet.
Hii inamshape mtu kwa namna tofauti sana, kustruggle kuheshimika na kuwa recognized.
So it's a mental issue iliyojengengeka for so long mpaka inakuwa mazoea na lifestyle.
Hapo alipokujibu kwa dharau ni namna ya kutafuta kiheshimika kwa lazima. Nyuma ya ubongo wake kuna kitu anapambana nacho ambacho sasa kinaonekana kwenye namna anavyofanya kwa watu.
Siku nyingine muhurumie tu mtu wa aina hii.
For realAtleast yule hata ukimkataa anaelewa.
Sio hawa wa kuja kuchamba wanawake mtandaoni kisa tu hajajibiwa salamu na mtu mmoja
Ustaarabu ni kila kitu kwenye hii dunia.Laiti kama jamii yetu ingekuwa na watu kama wewe. Maisha yangekuwa bora kuliko yale aliyoyaahidi kikwete.
Attitudes walizonazo hao watu ni sababu ya aina ya maisha wanayoishi, mleta mada anadhani amepewa pekeake hiyo treatment, kimsingi hata sisi wanawake wenzao wana tutreat hivyo hivyo, potea njia msimamishe umuulize uone kazi 😆
Yamkini hawajui walitendalo maana linatokea natural kwao.
Hivi watu wanajua kuwa maisha mazuri huambatana na ustaarabu?
Binti kiziwi good analysis ntaachana na leejay sasa nikufukuzie weweLaiti kama jamii yetu ingekuwa na watu kama wewe. Maisha yangekuwa bora kuliko yale aliyoyaahidi kikwete.
Attitudes walizonazo hao watu ni sababu ya aina ya maisha wanayoishi, mleta mada anadhani amepewa pekeake hiyo treatment, kimsingi hata sisi wanawake wenzao wana tutreat hivyo hivyo, potea njia msimamishe umuulize uone kazi 😆
Yamkini hawajui walitendalo maana linatokea natural kwao.
Hivi watu wanajua kuwa maisha mazuri huambatana na ustaarabu?
Aisee 😃😃😃🤒Aaah leejay siwezi kukukandia kama mwajuma ndala ndefu wewe ni wangu wa milele
😁😁😁 watasema hii ni ID yangu inajipigia debe 😁😁Mimi najua Leejay ni wa Mad Max tu🌚😂
Khee!🤣🤣😁😁😁 watasema hii ni ID yangu inajipigia debe 😁😁
Lenie nisaidie kwa leejay nadata apaWizi mtupu😅
Nakazia😁😁😁 watasema hii ni ID yangu inajipigia debe 😁😁
😂😂😂Competition is serious 😁😁😁
Lenie mwajuma nishamuondoa moyoni mwangu sasa ivi yuko leejay
Kweli me sina imani na wewe ujue😅Lenie nisaidie kwa leejay nadata apa
Mimi ni kijana mstaarabu, mwenye upendo na mcha mungu kua na imani nifanyie udalaliKweli me sina imani na wewe ujue😅
Hapana kwakweliMimi ni kijana mstaarabu, mwenye upendo na mcha mungu kua na imani nifanyie udalali