Wanawake wenye akili ndogo

Wanawake wenye akili ndogo

Survival for the fittest.
Ukiyatazama maisha ya uswahilini utagundua ni maisha ya kustruggle kwa kila kitu.Upate hewa nzuri, kula, kwenda toilet.
Hii inamshape mtu kwa namna tofauti sana, kustruggle kuheshimika na kuwa recognized.
So it's a mental issue iliyojengengeka for so long mpaka inakuwa mazoea na lifestyle.
Hapo alipokujibu kwa dharau ni namna ya kutafuta kiheshimika kwa lazima. Nyuma ya ubongo wake kuna kitu anapambana nacho ambacho sasa kinaonekana kwenye namna anavyofanya kwa watu.
Siku nyingine muhurumie tu mtu wa aina hii.
Laiti kama jamii yetu ingekuwa na watu kama wewe. Maisha yangekuwa bora kuliko yale aliyoyaahidi kikwete.

Attitudes walizonazo hao watu ni sababu ya aina ya maisha wanayoishi, mleta mada anadhani amepewa pekeake hiyo treatment, kimsingi hata sisi wanawake wenzao wana tutreat hivyo hivyo, potea njia msimamishe umuulize uone kazi 😆

Yamkini hawajui walitendalo maana linatokea natural kwao.

Hivi watu wanajua kuwa maisha mazuri huambatana na ustaarabu?
 
Ustaarabu ni kila kitu kwenye hii dunia.
 
Binti kiziwi good analysis ntaachana na leejay sasa nikufukuzie wewe
 
Hawa wa uswahilini kama hakujui anakua na mambo mengi! Ukitaka deal na wanawake wanaopenda mpira aiseee they never disappoint, wanakuanga wapi real sana hawana mambo ya kijinga na hawana dharau.... ukutane nae akivaaa jersey na surual inamkaaaa vzr
 
Back
Top Bottom