Wanawake wenye hizi tabia wana matatizo gani?

Namba 1: sababu inaweza kuwa alikuwa na jamaa yake na sasa mahusiano yameisha kwahiyo anatafuta pa kufarijika.
Namba 2: Ni wivu tu.

Ila pia sometimes wanawake hawaeleweki!
Dah!. Hii namba moja ilishanikuta.

Kuna Binti nilimpenda sana ilikuwa mwaka juzi, alikula sana fedha zangu na kila aina ya hitaji nilimpa. Nilimuacha kistaarabu sana baada ya kugundua ana mahusiano na mtu mwingine. Alikuja kuolewa na huyo jamaa. Ila mwaka huu amerudi tena kwangu kwa kasi kali sana, ananijuza kuwa ameachana na mume wake kwa kuwa alikuwa mlevi na alikuwa hatoi matunzo kama aliyoyapata toka kwangu.

Aisee, wanawake hawa!. Kanikuta nimeshapata kifaa kingine na wala sina mzuka nae tena.
 
Ulitumia busara sana kumuacha kistaarabu, kinachompata Sasa ni karma.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namtingishia tako nasepa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Kuna kutingisha tako na kutingisha makalio. Swali ni Je, una tako au una viungo vya kukalia?!
 
Hatusemi matatizo yetu ili muendelee kuvurugika hivyo hivyo
Ndio maana tunadate na wadogo zenu wa form 3 sababu wana akili zaidi kushinda dada zao. Plus ni watamu na wabichi hawana chenga za kupotezeana muda.

Nyinyi kaeni na mapozi na fujo zenu uzuri unaenda ukiisha. 30 tu hapo ukifika , una stress, hauna maisha serious, kichwani hauna ramani, sidhani kuna mwanaume atakuwa anataka kujisongeza,hivi hamstuki tu?!

Anyways, ukicheza na nguruwe kwenye matope yeye anafurahia wewe unachafuka. Kwa wanaume mahusiano ni fun tu hadi pale atapokutana na binti serious na open ndipo na yeye anakuwa serious.

Mkiendekeza hii michezo ya hisia , wanaume wataendelea kuwakwepa na kutafuta mbadala. Sasa unaleta mapozi kwani mwanamke upo pekee yako hapa duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Let the games continue.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana tunadate na wadogo zenu wa form 3 sababu wana akili zaidi kushinda dada zao. Plus ni watamu na wabichi hawana chenga za kupotezeana muda.

Nyinyi kaeni na mapozi na fujo zenu uzuri unaenda ukiisha. 30 tu hapo ukifika , una stress, hauna maisha serious, kichwani hauna ramani, sidhani kuna mwanaume atakuwa anataka kujisongeza.pejeevi hamstuki tu?!

Hivi kwani mbona huwa mnajiona kwamba mnahitajika mnoooo kwenye mahusiano???😂😂😂😂hebu mtupishe bana kadate na la nne kabisa form three huyo mbona kilometers ni nyingi
 
Ndio maana tunadate na wadogo zenu wa form 3 sababu wana akili zaidi kushinda dada zao. Plus ni watamu na wabichi hawana chenga za kupotezeana muda.

Nyinyi kaeni na mapozi na fujo zenu uzuri unaenda ukiisha. 30 tu hapo ukifika , una stress, hauna maisha serious, kichwani hauna ramani, sidhani kuna mwanaume atakuwa anataka kujisongeza.pejeevi hamstuki tu?!

Anyways, ukicheza na nguruwe kwenye matope yeye anafurahia wewe unachafuka. Kwa wanaume mahusiano ni fun tu hadi pale atapokutana na binti serious na open ndipo na yeye anakuwa serious.

Mkiendekeza hii michezo ya hisia , wanaume wataendelea kuwakwepa na kutafuta mbadala. Sasa unaleta mapozi kwani mwanamke upo pekee yako hapa duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Let the games continue.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeandika kwa uchungu!! Hahaa
 
Hivi kwani mbona huwa mnajiona kwamba mnahitajika mnoooo kwenye mahusiano???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu mtupishe bana kadate na la nne kabisa form three huyo mbona kilometers ni nyingi
Haya utakuja na uzi hapa. We ngoja moto ukianza kuwaka sisi tutakuwa wasomaji tu hapa. Huku pembeni tunacheka.... Kwi kwi kwi kwi kwi hatuna mbavu.
 
Back
Top Bottom