Aidanna
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 1,810
- 2,844
Siyo kila homa ni malaria..... Nyingine ni TyphoidZama zimebadilika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kila homa ni malaria..... Nyingine ni TyphoidZama zimebadilika
Siku hizi wala hatuvurugiki. Tunawaacha mvurugike nyieHatusemi matatizo yetu ili muendelee kuvurugika hivyo hivyo
Dah!. Hii namba moja ilishanikuta.Namba 1: sababu inaweza kuwa alikuwa na jamaa yake na sasa mahusiano yameisha kwahiyo anatafuta pa kufarijika.
Namba 2: Ni wivu tu.
Ila pia sometimes wanawake hawaeleweki!
Ulitumia busara sana kumuacha kistaarabu, kinachompata Sasa ni karma.Dah!. Hii namba moja ilishanikuta.
Kuna Binti nilimpenda sana ilikuwa mwaka juzi, alikula sana fedha zangu na kila aina ya hitaji nilimpa. Nilimuacha kistaarabu sana baada ya kugundua ana mahusiano na mtu mwingine. Alikuja kuolewa na huyo jamaa. Ila mwaka huu amerudi tena kwangu kwa kasi kali sana, ananijuza kuwa ameachana na mume wake kwa kuwa alikuwa mlevi na alikuwa hatoi matunzo kama aliyoyapata toka kwangu.
Aisee, wanawake hawa!. Kanikuta nimeshapata kifaa kingine na wala sina mzuka nae tena.
Unatingisha tako kama lipo ..Kama halipo unatingisha midomo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namtingishia tako nasepa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Mjikute tu, huoni mwamba kishavurugika hapa?Siku hizi wala hatuvurugiki. Tunawaacha mvurugike nyie
Kuna kutingisha tako na kutingisha makalio. Swali ni Je, una tako au una viungo vya kukalia?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namtingishia tako nasepa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Ndio maana tunadate na wadogo zenu wa form 3 sababu wana akili zaidi kushinda dada zao. Plus ni watamu na wabichi hawana chenga za kupotezeana muda.Hatusemi matatizo yetu ili muendelee kuvurugika hivyo hivyo
Hivi kwani mbona huwa mnajiona kwamba mnahitajika mnoooo kwenye mahusiano???😂😂😂😂hebu mtupishe bana kadate na la nne kabisa form three huyo mbona kilometers ni nyingiNdio maana tunadate na wadogo zenu wa form 3 sababu wana akili zaidi kushinda dada zao. Plus ni watamu na wabichi hawana chenga za kupotezeana muda.
Nyinyi kaeni na mapozi na fujo zenu uzuri unaenda ukiisha. 30 tu hapo ukifika , una stress, hauna maisha serious, kichwani hauna ramani, sidhani kuna mwanaume atakuwa anataka kujisongeza.pejeevi hamstuki tu?!
Anyways, ukicheza na nguruwe kwenye matope yeye anafurahia wewe unachafuka. Kwa wanaume mahusiano ni fun tu hadi pale atapokutana na binti serious na open ndipo na yeye anakuwa serious.
Mkiendekeza hii michezo ya hisia , wanaume wataendelea kuwakwepa na kutafuta mbadala. Sasa unaleta mapozi kwani mwanamke upo pekee yako hapa duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Let the games continue.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka atongoze kwa muda gani?Unatongoza demu wiki hivi mkuu una matatizo gani
Umeandika kwa uchungu!! HahaaNdio maana tunadate na wadogo zenu wa form 3 sababu wana akili zaidi kushinda dada zao. Plus ni watamu na wabichi hawana chenga za kupotezeana muda.
Nyinyi kaeni na mapozi na fujo zenu uzuri unaenda ukiisha. 30 tu hapo ukifika , una stress, hauna maisha serious, kichwani hauna ramani, sidhani kuna mwanaume atakuwa anataka kujisongeza.pejeevi hamstuki tu?!
Anyways, ukicheza na nguruwe kwenye matope yeye anafurahia wewe unachafuka. Kwa wanaume mahusiano ni fun tu hadi pale atapokutana na binti serious na open ndipo na yeye anakuwa serious.
Mkiendekeza hii michezo ya hisia , wanaume wataendelea kuwakwepa na kutafuta mbadala. Sasa unaleta mapozi kwani mwanamke upo pekee yako hapa duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Let the games continue.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani wanaumia kushinda wanawake.Hivi kwani mbona huwa mnajiona kwamba mnahitajika mnoooo kwenye mahusiano???😂😂😂😂hebu mtupishe bana kadate na la nne kabisa form three huyo mbona kilometers ni nyingi
Na maneno ya tutaendelea kuwachezea, watu tunapenda kuto....mbwaaaaa huko kuchezea wengine ni utamu mxyuuuu😂Yani wanaumia kushinda wanawake.
Utadhani sisi hatupati rahaaa...Na maneno ya tutaendelea kuwachezea, watu tunapenda kuto....mbwaaaaa huko kuchezea wengine ni utamu mxyuuuu😂
Si ndio hapo sasa, hebu kila mtu apambane na utamu wake tusichoshaneUtadhani sisi hatupati rahaaa...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna kutingisha tako na kutingisha makalio. Swali ni Je, una tako au una viungo vya kukalia?!
Haya utakuja na uzi hapa. We ngoja moto ukianza kuwaka sisi tutakuwa wasomaji tu hapa. Huku pembeni tunacheka.... Kwi kwi kwi kwi kwi hatuna mbavu.Hivi kwani mbona huwa mnajiona kwamba mnahitajika mnoooo kwenye mahusiano???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu mtupishe bana kadate na la nne kabisa form three huyo mbona kilometers ni nyingi
Inauma sana ujue. Nawaonea huruma hawa dada zangu wasiojionea huruma kesho yao inawajia vibaya hawana habari.Umeandika kwa uchungu!! Hahaa