Wanawake wenye makalio makubwa hawana heshima

Nimegundua Hawa warembo Wanajifanya wajanja na wajuwaji kwa kila hoja ilihali %kubwa ni weupe vichwaji, kisa tu wanasifiwa barabarani kuwa ni wazuri. Kwanza wengi wao waliofaulu vyuoni kwa kuuza uchi

Kutana na kimwanamke(age 23-27), tako kubwa au hips, chenye ajira kidogo, yaani kinadhani kimemaliza kila kitu maishani.

Pale kazini kwetu Kuna mmoja ana kazi ya kujibu jibu watu hovyo na dharau, siku moja nikaona anaibiwa na wakimbizi laptop na iPhone 11, nikavunga tu. Amerudi anauliza nikala buyu tu.

Siku nilipohamia hapa ninapoishi nilimkuta huyu mdada na yeye ana figure nzuri na rangi nzuri na ajira halmashauri, Sasa kwa kuwa mwenye nyumba haishi hapa, alikabiliwa ufunguo ili mpangaji akipatikana ampe.

Picha linaanza nimeshahamia jioni hiyo, nkatoka nje nikamkuta kwenye kibaraza nikataka nipige naye story kidogo nipajuwe kwa Mwenyekiti wa mtaa na maji yanatoka Mara ngapi kwa wiki. Nashangaa mtu ananiambia "ingia ndai endele na Mambo yako". Nikamambia nilichotaka kujua Ni maji yanatoka Mara ngapi kwa wiki ili niweke ratiba yangu vizuri, anijibu "yakitoka utayaona", nikawa mpole

Weekend nikafua nguo nikaanika kwenye kamba nikaenda mtaani, narudi saa sita nakuta amekusanya nguo zangu kwenye kisehemu Cha kamba hiyo akaanika zake, kucheki nguo zangu bado mbichi.

Hasira za kimasai zikanikaba, nikamuomba Mungu utulivu wa nafsi maana huwa nikiwa na hasira naweza Kufanya lolote baya(Nina Rekodi ya kukaa jela miezi sita kwa sababu ya hasira, hivyo kwa kutambua hilo nikawa mpole tu), nikaenda hardware nikanunua binding wire nikaja kuanikia nguo zangu, siku ikapita salama.

Kuna siku nikaugua malaria na typhoid nikawa hoi Sana nikamuomba anipikie uji jioni, unga wa uji na maziwa nilikuwa nayo mimi, akanijibu kwani huna rafiki? Nikasema wapo Ila mitaa ya mbali kidogo. Akanijibu "kwani huna namba zao?" Nikawa mpole.

Siku chache baadaye nilimuona akitoka room kwake baada ya hatua chache ufunguo ukamdondoka kutoka kwenye jacket lake la traki suti, alivyoenda mbali nikauokota huo ufunguo nikauflashi shooni.

Baada ya Kama masaa mawili nasikia mtu anasema, jirani.. jirani.. jirani, kwa sauti nyororo Kama ya Mtoto wa paka aliyenyeeshewa na mvua. Nikajisemea kimoyomoyo "leo ndiyo unajua kuwa Mimi ni jirani yako?"

Nikafungua mlango, Akaniambia " nimedomdosha ufunguo, naomba niwekee hivi vitu kwako nikatafute ufunguo, nikavipokea alivyotoka ni nikafungua hayo mabahasha na magazeti nikakuta juice kubwa ya maembe na nyama choma nusu nikala na kunywa nikalala.

Mida ya saa mbili usiku nasikia mlio wa screwdriver fundi akibadilisha kitasa, manake alipokosa ufunguo akaenda kununua kitasa Cha zaidi ya elfu 65 pamoja na gharama ya fundi Ni approximately 80 elfu au zaidi plus juice na nyama choma niliyokula inaweza fika laki.

Asubuhi yake tulikuwa na seminar ya wiki nzima kwenye taasisi yetu nikawa nalala hotelini na kwa kuwa Hana number yangu tulikuja kuonana weekend, akauliza "ulikuwa wapi?" Nikamjibu " wewe ni ku** nini? Unaniuliza nilikuwa wapi kwani Mimi mume wako?" Kwa majibu hayo akajua tu amepigwa.

Sasa kwa kuwa main switch ya umeme ipo room kwake, akaanza vituko vya kuzima umeme muda ambao hayupo nyumbani au usiku baada ya kumaliza Mambo yake. Nikavizia muda anaingia ndani nikamuonya akirudia kunizimia umeme atanitambua. Kisha nikampigia Mwenye nyumba naye akamkanya, akaacha huo Ujinga.

Hivi ndivyo ninavyodili na wadada wenye nyodo kisa makalio makubwa, hips na ajira ya kijungujiko.
Hebu acha ujinga, yaani mtu awe na makalio halafu ahangaike kutafuta kuwa na heshima?
Makalio yanatosha vingine hakikisha wewe ndiyo unakua navyo.
Halafu hii story umetupiga, kwa hiyo ukala nyama na kunywa juisi yake halafu wala hakukuuliza?
 
Bandiko lako linaonyesha wewe ni Mtu wa Visasi, Unalipa Ubaya wa Mtu kwa Mabaya zaidi. Utaishia kuwa maskini tuuu maaana nafsini mwako umejaza hasira za watu ambao hata huwajui.
Jifunze kuwa happy mabaya ya mtu yasikuanye uishi kifua kimevimba.
Hapo ulipo tayari utakua una vidonda vya Tumbo kwa ujinga wako.
Uokote funguo ya jiran utupe chooni ili kumkomoa???
Tafuta daktari wa saikolojia au nenda Mirembe ukatibiwe akili zako ni fyatu pia jitahidi upate muda wa kusali ufundishwe upendo.
sawa yesu
 
Hebu acha ujinga, yaani mtu awe na makalio halafu ahangaike kutafuta kuwa na heshima?
Makalio yanatosha vingine hakikisha wewe ndiyo unakua navyo.
Halafu hii story umetupiga, kwa hiyo ukala nyama na kunywa juisi yake halafu wala hakukuuliza?
Soma chote nilichoandika utaelewa
 
Sijasoma uzi wako vizuri ila nimeshawaona wengi zamani niliumia sana waliponitosa ila nilikuja kugundua ni mademu cheap Sana wala sio wakushoboka nao achana na ndoto za kuoa mwnamke mwenye tako kubwa thamani yao ni ndogo tofauti na mategemeo ya wengi

Achana na hao wasikupe tabu hao mwisho wao huishia kuwa malaya wa baba shop wengine ni viburudisho kwenye mapub,loji na grocery na mwisho huishia kwenye madanguro ya shot time

Tudili na hawa wanawake walioajiriwa kwenye viofisi vya mpesa na ofisi chache za serikalini wanapenda kujipamba sana muonekano wa juu na hili utaniamini hichi nachosema angalia nywele na wanja mdomoni

shida kubwa hawa ni viburi na kulinga wanazarau hadi hadi wateja wanajikutaga wife material lakini mwisho huishia kwenye usingo maza
 
Nimegundua Hawa warembo Wanajifanya wajanja na wajuwaji kwa kila hoja ilihali %kubwa ni weupe vichwaji, kisa tu wanasifiwa barabarani kuwa ni wazuri. Kwanza wengi wao waliofaulu vyuoni kwa kuuza uchi

Kutana na kimwanamke(age 23-27), tako kubwa au hips, chenye ajira kidogo, yaani kinadhani kimemaliza kila kitu maishani.

Pale kazini kwetu Kuna mmoja ana kazi ya kujibu jibu watu hovyo na dharau, siku moja nikaona anaibiwa na wakimbizi laptop na iPhone 11, nikavunga tu. Amerudi anauliza nikala buyu tu.

Siku nilipohamia hapa ninapoishi nilimkuta huyu mdada na yeye ana figure nzuri na rangi nzuri na ajira halmashauri, Sasa kwa kuwa mwenye nyumba haishi hapa, alikabiliwa ufunguo ili mpangaji akipatikana ampe.

Picha linaanza nimeshahamia jioni hiyo, nkatoka nje nikamkuta kwenye kibaraza nikataka nipige naye story kidogo nipajuwe kwa Mwenyekiti wa mtaa na maji yanatoka Mara ngapi kwa wiki. Nashangaa mtu ananiambia "ingia ndai endele na Mambo yako". Nikamambia nilichotaka kujua Ni maji yanatoka Mara ngapi kwa wiki ili niweke ratiba yangu vizuri, anijibu "yakitoka utayaona", nikawa mpole

Weekend nikafua nguo nikaanika kwenye kamba nikaenda mtaani, narudi saa sita nakuta amekusanya nguo zangu kwenye kisehemu Cha kamba hiyo akaanika zake, kucheki nguo zangu bado mbichi.

Hasira za kimasai zikanikaba, nikamuomba Mungu utulivu wa nafsi maana huwa nikiwa na hasira naweza Kufanya lolote baya(Nina Rekodi ya kukaa jela miezi sita kwa sababu ya hasira, hivyo kwa kutambua hilo nikawa mpole tu), nikaenda hardware nikanunua binding wire nikaja kuanikia nguo zangu, siku ikapita salama.

Kuna siku nikaugua malaria na typhoid nikawa hoi Sana nikamuomba anipikie uji jioni, unga wa uji na maziwa nilikuwa nayo mimi, akanijibu kwani huna rafiki? Nikasema wapo Ila mitaa ya mbali kidogo. Akanijibu "kwani huna namba zao?" Nikawa mpole.

Siku chache baadaye nilimuona akitoka room kwake baada ya hatua chache ufunguo ukamdondoka kutoka kwenye jacket lake la traki suti, alivyoenda mbali nikauokota huo ufunguo nikauflashi shooni.

Baada ya Kama masaa mawili nasikia mtu anasema, jirani.. jirani.. jirani, kwa sauti nyororo Kama ya Mtoto wa paka aliyenyeeshewa na mvua. Nikajisemea kimoyomoyo "leo ndiyo unajua kuwa Mimi ni jirani yako?"

Nikafungua mlango, Akaniambia " nimedomdosha ufunguo, naomba niwekee hivi vitu kwako nikatafute ufunguo, nikavipokea alivyotoka ni nikafungua hayo mabahasha na magazeti nikakuta juice kubwa ya maembe na nyama choma nusu nikala na kunywa nikalala.

Mida ya saa mbili usiku nasikia mlio wa screwdriver fundi akibadilisha kitasa, manake alipokosa ufunguo akaenda kununua kitasa Cha zaidi ya elfu 65 pamoja na gharama ya fundi Ni approximately 80 elfu au zaidi plus juice na nyama choma niliyokula inaweza fika laki.

Asubuhi yake tulikuwa na seminar ya wiki nzima kwenye taasisi yetu nikawa nalala hotelini na kwa kuwa Hana number yangu tulikuja kuonana weekend, akauliza "ulikuwa wapi?" Nikamjibu " wewe ni ku** nini? Unaniuliza nilikuwa wapi kwani Mimi mume wako?" Kwa majibu hayo akajua tu amepigwa.

Sasa kwa kuwa main switch ya umeme ipo room kwake, akaanza vituko vya kuzima umeme muda ambao hayupo nyumbani au usiku baada ya kumaliza Mambo yake. Nikavizia muda anaingia ndani nikamuonya akirudia kunizimia umeme atanitambua. Kisha nikampigia Mwenye nyumba naye akamkanya, akaacha huo Ujinga.

Hivi ndivyo ninavyodili na wadada wenye nyodo kisa makalio makubwa, hips na ajira ya n
Naunga mkono hoja halafu wako na jeuri na kiburi hawa utadhani wamepanda safina ya nuhu.
 
Mnapendana tu yanaanza hvyo mara mnajikuta ni mume na mke 😂
 
Sijasoma uzi wako vizuri ila nimeshawaona wengi zamani niliumia sana waliponitosa ila nilikuja kugundua ni mademu cheap Sana wala sio wakushoboka nao achana na ndoto za kuoa mwnamke mwenye tako kubwa thamani yao ni ndogo tofauti na mategemeo ya wengi

Achana na hao wasikupe tabu hao mwisho wao huishia kuwa malaya wa baba shop wengine ni viburudisho kwenye mapub,loji na grocery na mwisho huishia kwenye madanguro ya shot time

Tudili na hawa wanawake walioajiriwa kwenye viofisi vya mpesa na ofisi chache za serikalini wanapenda kujipamba sana muonekano wa juu na hili utaniamini hichi nachosema angalia nywele na wanja mdomoni

shida kubwa hawa ni viburi na kulinga wanazarau hadi hadi wateja wanajikutaga wife material lakini mwisho huishia kwenye usingo maza
💯🙏🏿
 
Nimegundua Hawa warembo Wanajifanya wajanja na wajuwaji kwa kila hoja ilihali %kubwa ni weupe vichwaji, kisa tu wanasifiwa barabarani kuwa ni wazuri. Kwanza wengi wao waliofaulu vyuoni kwa kuuza uchi

Kutana na kimwanamke(age 23-27), tako kubwa au hips, chenye ajira kidogo, yaani kinadhani kimemaliza kila kitu maishani.

Pale kazini kwetu Kuna mmoja ana kazi ya kujibu jibu watu hovyo na dharau, siku moja nikaona anaibiwa na wakimbizi laptop na iPhone 11, nikavunga tu. Amerudi anauliza nikala buyu tu.

Siku nilipohamia hapa ninapoishi nilimkuta huyu mdada na yeye ana figure nzuri na rangi nzuri na ajira halmashauri, Sasa kwa kuwa mwenye nyumba haishi hapa, alikabiliwa ufunguo ili mpangaji akipatikana ampe.

Picha linaanza nimeshahamia jioni hiyo, nkatoka nje nikamkuta kwenye kibaraza nikataka nipige naye story kidogo nipajuwe kwa Mwenyekiti wa mtaa na maji yanatoka Mara ngapi kwa wiki. Nashangaa mtu ananiambia "ingia ndai endele na Mambo yako". Nikamambia nilichotaka kujua Ni maji yanatoka Mara ngapi kwa wiki ili niweke ratiba yangu vizuri, anijibu "yakitoka utayaona", nikawa mpole

Weekend nikafua nguo nikaanika kwenye kamba nikaenda mtaani, narudi saa sita nakuta amekusanya nguo zangu kwenye kisehemu Cha kamba hiyo akaanika zake, kucheki nguo zangu bado mbichi.

Hasira za kimasai zikanikaba, nikamuomba Mungu utulivu wa nafsi maana huwa nikiwa na hasira naweza Kufanya lolote baya(Nina Rekodi ya kukaa jela miezi sita kwa sababu ya hasira, hivyo kwa kutambua hilo nikawa mpole tu), nikaenda hardware nikanunua binding wire nikaja kuanikia nguo zangu, siku ikapita salama.

Kuna siku nikaugua malaria na typhoid nikawa hoi Sana nikamuomba anipikie uji jioni, unga wa uji na maziwa nilikuwa nayo mimi, akanijibu kwani huna rafiki? Nikasema wapo Ila mitaa ya mbali kidogo. Akanijibu "kwani huna namba zao?" Nikawa mpole.

Siku chache baadaye nilimuona akitoka room kwake baada ya hatua chache ufunguo ukamdondoka kutoka kwenye jacket lake la traki suti, alivyoenda mbali nikauokota huo ufunguo nikauflashi shooni.

Baada ya Kama masaa mawili nasikia mtu anasema, jirani.. jirani.. jirani, kwa sauti nyororo Kama ya Mtoto wa paka aliyenyeeshewa na mvua. Nikajisemea kimoyomoyo "leo ndiyo unajua kuwa Mimi ni jirani yako?"

Nikafungua mlango, Akaniambia " nimedomdosha ufunguo, naomba niwekee hivi vitu kwako nikatafute ufunguo, nikavipokea alivyotoka ni nikafungua hayo mabahasha na magazeti nikakuta juice kubwa ya maembe na nyama choma nusu nikala na kunywa nikalala.

Mida ya saa mbili usiku nasikia mlio wa screwdriver fundi akibadilisha kitasa, manake alipokosa ufunguo akaenda kununua kitasa Cha zaidi ya elfu 65 pamoja na gharama ya fundi Ni approximately 80 elfu au zaidi plus juice na nyama choma niliyokula inaweza fika laki.

Asubuhi yake tulikuwa na seminar ya wiki nzima kwenye taasisi yetu nikawa nalala hotelini na kwa kuwa Hana number yangu tulikuja kuonana weekend, akauliza "ulikuwa wapi?" Nikamjibu " wewe ni ku** nini? Unaniuliza nilikuwa wapi kwani Mimi mume wako?" Kwa majibu hayo akajua tu amepigwa.

Sasa kwa kuwa main switch ya umeme ipo room kwake, akaanza vituko vya kuzima umeme muda ambao hayupo nyumbani au usiku baada ya kumaliza Mambo yake. Nikavizia muda anaingia ndani nikamuonya akirudia kunizimia umeme atanitambua. Kisha nikampigia Mwenye nyumba naye akamkanya, akaacha huo Ujinga.

Hivi ndivyo ninavyodili na wadada wenye nyodo kisa makalio makubwa, hips na ajira ya kijungujiko.
Sio heshima tu, hata akili hawana.
 
Yani mtu hakutaka kukujibu siku ambazo maji hua yanatoka halafu wewe unataka akupikie Uji?

Huyo demu alikudharau coz aliona unajipendekeza sana kwake,kifupi uliishusha hadhi yako kwake mapema sana.
Sijawahi kujipendekeza kwake tangu day one. Labda yeye alitafdiri hivyo
 
Back
Top Bottom