Wanawake wenye makalio makubwa hawana heshima

Wanawake wenye makalio makubwa hawana heshima

Nikafungua mlango, Akaniambia " nimedomdosha ufunguo, naomba niwekee hivi vitu kwako nikatafute ufunguo, nikavipokea alivyotoka ni nikafungua hayo mabahasha na magazeti nikakuta juice kubwa ya maembe na nyama choma nusu nikala na kunywa nikalala.
🤣🤣🤣
Mida ya saa mbili usiku nasikia mlio wa screwdriver fundi akibadilisha kitasa, manake alipokosa ufunguo akaenda kununua kitasa Cha zaidi ya elfu 65 pamoja na gharama ya fundi Ni approximately 80 elfu au zaidi plus juice na nyama choma niliyokula inaweza fika laki.

Asubuhi yake tulikuwa na seminar ya wiki nzima kwenye taasisi yetu nikawa nalala hotelini na kwa kuwa Hana number yangu tulikuja kuonana weekend, akauliza "ulikuwa wapi?" Nikamjibu " wewe ni ku** nini? Unaniuliza nilikuwa wapi kwani Mimi mume wako?" Kwa majibu hayo akajua tu amepigwa.
😁😁😁
Sasa kwa kuwa main switch ya umeme ipo room kwake, akaanza vituko vya kuzima umeme muda ambao hayupo nyumbani au usiku baada ya kumaliza Mambo yake. Nikavizia muda anaingia ndani nikamuonya akirudia kunizimia umeme atanitambua. Kisha nikampigia Mwenye nyumba naye akamkanya, akaacha huo Ujinga.

Hivi ndivyo ninavyodili na wadada wenye nyodo kisa makalio makubwa, hips na ajira ya kijungujiko.
Dawa yao ni kuwatafuna, siyo kuwafanyia visa!
 
Huna haja ya kulipiza baya kwa baya. Just be nice to everyone, huyo dada mtakuja kuwa marafiki wenda yeye moyoni hana kinyongo kama chako. Ndo maana alikuuliza ulikuwa wapi wiki mzima? In short alikumiss.
 
Back
Top Bottom