Wanawake wenye makalio makubwa hawana heshima

Inaonekana mwenye shida ni wewe unawashobokea sana shobo zikizidi nazo ni mbaya unageuka kuwa kero, mtu ambae hataki stori na wewe utamjua tu kupitia hata salamu,ukimsalimia jinsi atakavyo kujibu utagundua huyu mtu ana dharau na hahitaji stori na Mimi au ni mtu muungwana naweza kuongea nae zaidi.

Sasa inaonekana we unapenda kulazimisha mazoea, mimi demu awe mzuri hata Kama malaika nikimsalimia na nikaona jinsi anavyojibu Salam yangu ni kwa nyodo sihitaji stori nae
sana Sana ntaendelea kumsalimia na kumpotezea sitahitaji kuskia hata jibu la Salam niliyompa.
 
Yana msaada gani mkuu hayo makalio?

Ningependa nipate elimu hiyo ya umuhimu ili niondoke kwenye ujinga.
Muulize mtoa mada 😀😀😀

Me nimejibu kutokana na andiko lake
 
Nimegundua Hawa warembo Wanajifanya wajanja na wajuwaji kwa kila hoja ilihali %kubwa ni weupe vichwaji, kisa tu wanasifiwa barabarani kuwa ni wazuri. Kwanza wengi wao waliofaulu vyuoni kwa kuuza uchi

Kutana na kimwanamke(age 23-27), tako kubwa au hips, chenye ajira kidogo, yaani kinadhani kimemaliza kila kitu maishani.

Pale kazini kwetu Kuna mmoja ana kazi ya kujibu jibu watu hovyo na dharau, siku moja nikaona anaibiwa na wakimbizi laptop na iPhone 11, nikavunga tu. Amerudi anauliza nikala buyu tu.

Siku nilipohamia hapa ninapoishi nilimkuta huyu mdada na yeye ana figure nzuri na rangi nzuri na ajira halmashauri, Sasa kwa kuwa mwenye nyumba haishi hapa, alikabiliwa ufunguo ili mpangaji akipatikana ampe.

Picha linaanza nimeshahamia jioni hiyo, nkatoka nje nikamkuta kwenye kibaraza nikataka nipige naye story kidogo nipajuwe kwa Mwenyekiti wa mtaa na maji yanatoka Mara ngapi kwa wiki. Nashangaa mtu ananiambia "ingia ndai endele na Mambo yako". Nikamambia nilichotaka kujua Ni maji yanatoka Mara ngapi kwa wiki ili niweke ratiba yangu vizuri, anijibu "yakitoka utayaona", nikawa mpole

Weekend nikafua nguo nikaanika kwenye kamba nikaenda mtaani, narudi saa sita nakuta amekusanya nguo zangu kwenye kisehemu Cha kamba hiyo akaanika zake, kucheki nguo zangu bado mbichi.

Hasira za kimasai zikanikaba, nikamuomba Mungu utulivu wa nafsi maana huwa nikiwa na hasira naweza Kufanya lolote baya(Nina Rekodi ya kukaa jela miezi sita kwa sababu ya hasira, hivyo kwa kutambua hilo nikawa mpole tu), nikaenda hardware nikanunua binding wire nikaja kuanikia nguo zangu, siku ikapita salama.

Kuna siku nikaugua malaria na typhoid nikawa hoi Sana nikamuomba anipikie uji jioni, unga wa uji na maziwa nilikuwa nayo mimi, akanijibu kwani huna rafiki? Nikasema wapo Ila mitaa ya mbali kidogo. Akanijibu "kwani huna namba zao?" Nikawa mpole.

Siku chache baadaye nilimuona akitoka room kwake baada ya hatua chache ufunguo ukamdondoka kutoka kwenye jacket lake la traki suti, alivyoenda mbali nikauokota huo ufunguo nikauflashi shooni.

Baada ya Kama masaa mawili nasikia mtu anasema, jirani.. jirani.. jirani, kwa sauti nyororo Kama ya Mtoto wa paka aliyenyeeshewa na mvua. Nikajisemea kimoyomoyo "leo ndiyo unajua kuwa Mimi ni jirani yako?"

Nikafungua mlango, Akaniambia " nimedomdosha ufunguo, naomba niwekee hivi vitu kwako nikatafute ufunguo, nikavipokea alivyotoka ni nikafungua hayo mabahasha na magazeti nikakuta juice kubwa ya maembe na nyama choma nusu nikala na kunywa nikalala.

Mida ya saa mbili usiku nasikia mlio wa screwdriver fundi akibadilisha kitasa, manake alipokosa ufunguo akaenda kununua kitasa Cha zaidi ya elfu 65 pamoja na gharama ya fundi Ni approximately 80 elfu au zaidi plus juice na nyama choma niliyokula inaweza fika laki.

Asubuhi yake tulikuwa na seminar ya wiki nzima kwenye taasisi yetu nikawa nalala hotelini na kwa kuwa Hana number yangu tulikuja kuonana weekend, akauliza "ulikuwa wapi?" Nikamjibu " wewe ni ku** nini? Unaniuliza nilikuwa wapi kwani Mimi mume wako?" Kwa majibu hayo akajua tu amepigwa.

Sasa kwa kuwa main switch ya umeme ipo room kwake, akaanza vituko vya kuzima umeme muda ambao hayupo nyumbani au usiku baada ya kumaliza Mambo yake. Nikavizia muda anaingia ndani nikamuonya akirudia kunizimia umeme atanitambua. Kisha nikampigia Mwenye nyumba naye akamkanya, akaacha huo Ujinga.

Hivi ndivyo ninavyodili na wadada wenye nyodo kisa makalio makubwa, hips na ajira ya kijungujiko.
Tatizo ni wewe
 
Huna haja ya kulipiza baya kwa baya. Just be nice to everyone, huyo dada mtakuja kuwa marafiki wenda yeye moyoni hana kinyongo kama chako. Ndo maana alikuuliza ulikuwa wapi wiki mzima? In short alikumiss.
Hapana, alitaka kuulizia kiele kifurushi nikamuwahi
 
Asante kwa kumkomesha namna hiyo mwanawane
 
Mwanamke akishakuwa na matako makubwa akili zinahamia kutoka kwa ubongo kwenda kwenye matako ndio maana unakuta saa yote anayabinubinua na hata kuyafuta na toilet paper hawezi yanabaki huku kwa matakore ,
Screenshot_2023-05-12-21-35-02-307_com.facebook.katana.jpg
 
Back
Top Bottom