Maendeleo ya mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo mbaya sana ya kuharibu kundi la wanawake wenye makalio makubwa. Mitandao yote ya kijamii sasa kila kona imejaa wanawake wanaotingisha/ tikisa makalio.
Kuanzia maofisi ya umma na binafsi, Bar, Pub, barabarani, kwenye usafiri, sherehe, biashara, fremu, siasa na mpaka hospital sasa zinavurumishwa video clips tu za wanawake wanatikiskisa makalio, wengine wako uchi, wengine wamevaa chupi, bikini, magauni, suruali, skin tight, khanga na hata abaya na baibui!