Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Hauna ujanja huo !! Unaonekana mshamba hata hujielewi pesa huna za kuoa na Wanaooa ni wenye akili sio wewe unaweka suruali chini ya makalio usela wa kijinga.Haramu??? nimekwambia akili yako ni local/mshamba.
Hapana ila kinakuwa kimeenda kilomita nyingi sanaHivi kufikia muda umri huo kinakuwa kimekauka eti?
Haramu??? nimekwambia akili yako ni local/mshamba.
Hauna ujanja huo !! Unaonekana mshamba hata hujielewi pesa huna za kuoa na Wanaooa ni wenye akili sio wewe unaweka suruali chini ya makalio usela wa kijinga.
Hahaha... haya. Imenibidi nicheki mshamba ananiita maskini.Hauna ujanja huo !! Unaonekana mshamba hata hujielewi pesa huna za kuoa na Wanaooa ni wenye akili sio wewe unaweka suruali chini ya makalio usela wa kijinga.
Sema wew uolewe sio kuoa Anita !!KAOE, ila usitulazimishe ni lazima kufanya hivyo, kama ilivyo choice yako kuoa hivyo hivyo ni choice ya mtu kutokuoa,
Hawa wa vingereza vingi tabu sana🤣🤣🤣🤣number moja; wengi mliojibu ni wanaume mnapinga vikali kuwa kuna wadada walio accept maybe marriage is not at the moment for them, and they are to focus on other things. let me tell you something; you are not a woman and second you are NOT above 35, iweje mjue zaidi what goes in these women's minds ama what it feels kutokuolewa kama nyinyi sio wanawake na sio wenye group lililotajwa (above 35),???
number two;Sijui backgrounds zenu ila kwenye social sciences tunaambiwa huwezi kupata unified answer when it comes to people's perceptions. Namaanisha huwezi ku measure ATTITUDES za watu towards something then ukapata jibu moja kuwa wote ni A ama wote ni B,, never. lazima kutakuwa na degree of variability hata kama ni kidogo. So nyinyi mnaoexpect sijuii wanawake WOTE tunaumia au tuumie tusipoolewa,mtakuwa na hitilafu kwenye ubongo!
tatu; NOT everybody sees things in the same lens as you do and what you construct of the world as to be ideal is not and is not expected to be every body 's construct.
Tchao.
Haja zako za mwili unazitubuje?mbona sawa tuu....
shida ni pale wengine wanapokuona mkosaji, its your fault and you should feel guilty about it,
lets face it, hata km Mungu angeumba wanawake population sawa na wanaume, still sio wanawake wote wangeolewa due to other factors as well,
yes im 39 single, dont feel sorry for me, there's nothing to feel sorry about and dont bother make me feel guilty, you wont suscseed..lol
Kujifariji nayo ni jambo muhimu kwa afya ya mwili na akili.Ndo ivyo sio lazima Kila mtu akiwa at this age and above lazima anze kuchuja hapana....Yani wengine ndo kwanza kama tuko na 25we keep shining ......
Yaani we jamaa unapiga ngumi za shingo tu, sio fresh ivo[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa tunafix vipi kitu ambacho hata kikiwafixed soko lake halipo tena, its a wastage of time and effort.
Hebu imagine kutengeneza deki ya mkanda ili iende dukani kuuzwa.
Nani anatumia mikanda miaka hii?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna.... Hapa unajaribu ku decorate kahoja kako. Ila ukweli ni kwamba upo upande huu huu wa maumivu. Acha urongo.number moja; wengi mliojibu ni wanaume mnapinga vikali kuwa kuna wadada walio accept maybe marriage is not at the moment for them, and they are to focus on other things. let me tell you something; you are not a woman and second you are NOT above 35, iweje mjue zaidi what goes in these women's minds ama what it feels kutokuolewa kama nyinyi sio wanawake na sio wenye group lililotajwa (above 35),???
number two;Sijui backgrounds zenu ila kwenye social sciences tunaambiwa huwezi kupata unified answer when it comes to people's perceptions. Namaanisha huwezi ku measure ATTITUDES za watu towards something then ukapata jibu moja kuwa wote ni A ama wote ni B,, never. lazima kutakuwa na degree of variability hata kama ni kidogo. So nyinyi mnaoexpect sijuii wanawake WOTE tunaumia au tuumie tusipoolewa,mtakuwa na hitilafu kwenye ubongo!
tatu; NOT everybody sees things in the same lens as you do and what you construct of the world as to be ideal is not and is not expected to be every body 's construct.
Tchao.
Tayari wameshaolewa wote niwakumbuke kwenye nini tena?!Kawakumbuke dada zako kwanza....
Unatetea kitu ambacho hata wewe unajua kuwa si sahihi ila basi tu unaongea hapa ili sijui wanawake wakuone shujaa....Haramu??? nimekwambia akili yako ni local/mshamba.
Hamna hapa exposure hiyo ya namna gani?lack of exposure...aka expozyaaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣Wee sasa sii ndio nataka kuachana na umalaya niwe na mke wangu nitulie. Ningekutongoza ila duh hilo jina lako tuu ata nguvu sina🤣🤣🤣🤣
Hii reply kaisoma huku kashika tama huko alipo huku anajiuliza God whenIna feli vipi wakati haikuanza?
Sasa nazungukaje na jambo lipo bayana na wazi. Wewe unajua utamu wa ndoa wewe. [emoji23][emoji23][emoji23] Sio utamu wakuwa na bwana maana unaweza hata lala na mume wa mtu, konda wa daladala, bodaboda, muhuni yaani unaweza kulala na mtu yoyote.
Ila NDOA bwana ina heshima na raha yake.
Hebu wazia. Upo kwenye ndoa yako ya halali. Mumeo anarudi kazini watoto wanaruka ruka baba yao karudi kazini wakati wewe upo jikoni ukimuandalia msosi.
Anaingia sebuleni mnasalimiana mnaongozana kuelekea chumbani kwenu, sio geto, CHUMBA CHA BABA NA MAMA WANANDOA.
Vitoto vinajisemesha semesha kwa baba yao vikinokoleana, "Baba junior kalamba sukari mchape" [emoji23][emoji23][emoji23] ,baba yao anajibu haya mwanangu ntamchapa baadae", kengine kanasema baba halafu Brighton hajalala mchana na yeye mchape, baba anajibu " haya baba ntamchapa baadae mwanangu mzuri," haoooo mnaingia chumbani unamuuliza mume wako wa NDOA habari ya kazini anakujibu kwa mahaba "Salama, m'meshindaje?" Unaendelea nakuzungumza nae mkijadili moja mbili tatu kuhusu familia yenu halali ya NDOA.
Acha kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haja zako za mwili unazitubuje?Bado tuna matumaini 😶🌫️😶🌫️
Tukibahatika tutaolewa hata uzeeni.😏
Kuolewa na kuoa ni lazima. Mnataka kutuletea watoto wasio na adabu kwenye jamii sababu ya maamuzi yenu yasiyozingatia mustakabali wa taifa.KAOE, ila usitulazimishe ni lazima kufanya hivyo, kama ilivyo choice yako kuoa hivyo hivyo ni choice ya mtu kutokuoa,
Olewa kwanza, muulize mama yako mzazi kama anajutia kuolewa na baba yako miaka yote hiiNi stage tu. Tukiipita tutakuwa tukiangalia nyuma na kushangaa jinsi tulivyokuw tunaona kuolewa ni mafanikio