Kuolewa na kuoa ni lazima. Mnataka kutuletea watoto wasio na adabu kwenye jamii sababu ya maamuzi yenu yasiyozingatia mustakabali wa taifa.
Wewe unadhani maamuzi yako ya kupata mtoto ni kama vile umeenda ShopRite kununua Chocolate [emoji515] ili ule ujisikie vizuri?
Pale unapokutana kimwili na mwanaume muda wowote maana yake unashiriki jambo la kijamii nalo ni kuleta raia wa Jamuhuri.
Sasa nyie mabinti wa kisasa huwa mnadhani Sex ni kama kunywa malta au Serengeti lite, hamchukui any precaution au kuwa aware kile mnachofanya kikatiba ni jambo la kitaifa.
Matokeo yake watoto wakija mnaanza kuleta uzungu kwenye malezi. Mara nyoko nyoko nyoko mtoto huyu tutafanya co parenting pumbavu mnatuharibia jamii sababu ya kukosa maadili.
Juzi hapa kamati ya bunge imekaa kikao kuzungumzia hii changamoto ya ndoa kuvunjika miaka hii, ongezeko la watoto wa mitaani na watoto wa nje ya ndoa. Wewe na akili zako hizi za series za kikorea unakuja hapa kutuletea ushubwada.
Sasa mimi ndio nakwambia utaolewa kwa nguvu utake usitake.
Yaani ni mwendo wa Kusukuma ndani
Anita Makirita , sukuma ndani wanaomsapoti, sukuma ndani....
Utaolewa hivi hivi na uzee wako wa miaka 40.
Sent using
Jamii Forums mobile app