Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Unajua maana ya misogyny wewe?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Misogyny ni mtu anaechukia uanamke au kuchukia wanawake

Sasa unamke ni kuolewa, kujifungua watoto, kuwa mke kwa mume, kunyonyesha mtoto, kuwa bibi, kuwa mama, kupika chakula kizuri kwa familia, kuwa mfariji, kuwa msiri. Yaani kuwa na mambo yanayoitwa ya kike.

Sasa mtu unachukia kuolewa, hutaki kuwa na watoto, hutaki mahusiano na wanaume, hutaki kuvaa nguo za kike napenda kampani ya kiume, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu unaita wanaokuhoji kwann u atabia hizo kuwa ni misogynists kwamba wanachukia uanamke?!

Hivi unakuwa serious au unahitaji msaada ila unashindwa kunyoosha maelezo?!

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ni misogynist per se,

Ndoa ni jambo la hiari, na kama sio la hiari huwezi kutoa responsibility ya wote wanaume na wanawake kama hili jambo (ndoa) halijafanyika...

Kuwalaumu wanawake peke yake ni proof tosha una chembe chembe za kuchukia wanawake (U-Misogynist)
 
This type of thinking is so selfish, rudia kusoma ulichoandika
Selfishness is you living in a community ambayo unachagua kuifanyia ubaya wa kuplant kirusi cha kuvuruga ustawi wake..

Tukiwa primary school mwalimu wetu wa soko la maarifa ya jamii alitupa somo moja simple ila lina maana kubwa sana siku ya usafi.

Alitupeleka kwenye eneo akatuambia mwanafunzi m'moja atupe takataka pale ile sehemu kama ni kifuko cha ubuyu au ganda la pili au karatasi. Kisha tukafanya hivyo. Akatuambia mnaona hiyo karatasi hata haionekani kama ni uchafu maana ni kidogo na imetupwa na mtu m'moja.

Haya kila mtu akaokote takataka ataupe hapo kwa kadiri utaweza. Ndani ya muda mfupi lile eneo lilikuwa limejaa taka na likawa chafu tena.

Akatuambia ndivyo hivyo hivyo na mtaani huko au njiani unapopita unatupa taka ukiamini uko pekee yako. Watatokea wengine wataona uchafu wako wataamini hapo ni jalalani na ni sawa tu kutupa taka kama wewe ambaye hawajakuona.

Utaacha trail ya watupa uchafu ambao ni matokeo ya kukuiga wewe muanzilishi hadi eneo litakuwa halitamaniki tena na litakuwa ni jalala na kila mtu atalalamika harufu mbaya na uchafuzi wa mazingira.

Apply hiyo concept kwenye huu mjadala kwamba, leo wewe ni mtu m'moja umeamua kufanya hivyo, watokee mabinti wanaokufahamu na kukuiga kama dada,shangazi,mama yao mdogo, mwalimu wao kwa mfano, waaamue kutokuwa serious na mahusiano wengine wakazaa bila ndoa na wengineo wakasema hawatapata watoto kabisa au watapata mtoto m'moja tu then basi.

Sasa assume kuna sampuli yako muwe kama milioni 10 maeneo tofauti.

Je unajua madhara yake katika jamii eneo la idadi ya watu?

Je unajua madhara yake eneo la Ndoa?

Je unajua madhara yake eneo la kodi za nchi?

Je, unajua madhara yake eneo la nguvu kazi ya taifa?!

Madhara ni mengi. Nenda katazame data juu ya population ya US kwa sasa na Ulaya. Wamejaa immigrants ndio wanashika uchumi wa taifa maana raia walikuwa na akili kama hizi zako ikaaffect idadi ya watu na kuathiri mipango ya serikali.

Kuna mengi hauyafahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako utoto unakusumbua alafu unafikiri you will stay fresh and strong forever
Time will tell
Siku hizi wanajiita kizazi cha fisi sijui. Yaani YOUNG, WILD & FREE.

Watajua hawajui , wawaulize wadada wa Beijing kilichowakuta kule Japan. [emoji23][emoji23] Wanaogonga 50 wanaanza kulazimisha serikali ipitishe mswaada wa kuwawekea fungu maalumu la kuwakimu

Serikali ikawaambia hatuna hiyo bajeti ya upuuzi ya kuwekeza kwa watu ambao mlichagua kuwa single na kuishi kama mawe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sizan Kama Kuna mwanamke mzma kiafya na kiakili akawa hataki kuolewa!!! Ila sema weng wao wanataftaga mwanaume mweny class furan na wa daraja la chini hataki.
Umejibu vizuri sana, most of the ladies wanakuaga na stupid mind hasa kwenye ages ya 21-30yrs yani
Siongei kwa kusikia bali hata mimi yamenikuta nikiwa nasoma bweni ukirudi kitaa unatongoza demu kisa pc kali inajikuta keki kinyama, mjuba nikampotezea nikatoboa School advance, nafika chuo nashangaa ghafla simu, nikapokea anajitambulisha mi fulani nikaanza nae nikaoa ndio mke wangu,
juzi narudi job nakuta anasimulia ujinga wake ati anawakanya watoto.mwanaume nikashindwa kujikaza nikampa maneno yake palepale sikumbakisha kudadeki zake.
Ndiyo maana nikasema hivi huna uwezo wa kujadiliana na mimi sababu hata maana za maneno huzijui. Hakuna tusi hapo nililo tukana, sisi Waswahili tunajua matusi ni nini, sasa unapoambiwa mjinga na kweli umjinga hujatukanwa bali umepewa stahiki yako.

Umetumia tena tamko "Mnafiki" mahala si pake sababu tukichambua neno hilo mimi sina alama za unafiki. Nakuita tena wewe ni mjinga na ni mjinga kweli, hii ni sifa yako.

Sasa usilazimishe ukweli ukauita matusi hili haliwezekani hata ubinuke.
Naunga mkono hoja''HUYU NI MJINGA''
 
Umejibu vizuri sana, most of the ladies wanakuaga na stupid mind hasa kwenye ages ya 21-30yrs yani
Siongei kwa kusikia bali hata mimi yamenikuta nikiwa nasoma bweni ukirudi kitaa unatongoza demu kisa pc kali inajikuta keki kinyama, mjuba nikampotezea nikatoboa School advance, nafika chuo nashangaa ghafla simu, nikapokea anajitambulisha mi fulani nikaanza nae nikaoa ndio mke wangu,
juzi narudi job nakuta anasimulia ujinga wake ati anawakanya watoto.mwanaume nikashindwa kujikaza nikampa maneno yake palepale sikumbakisha kudadeki zake.

Naunga mkono hoja''HUYU NI MJINGA''
MJINGA MAMAKO
 
Au mtu asexual anatakaje kuolewa kwa mfano

Watu wanafikiri binadamu wote duniani wameumbwa sawa

Yani kuna vitu wanaandika unaona kabisa ni nadharia na siyo uhalisia
Hakuna hapa mnakuja na vimajina vya kizungu vya kuunda unda ili mtengenezee hoja za uongo uongo hapa ili kupotosha.

Asexual ndio nini, yaani unataka kutuambia wanawake wote ni asexual?! Unataka kutumia mtu moja katika kundi la watu mia kudefine hao watu 99 waliobakia?

U can't fool us na hizi scientific explanation. Its true kuwa kuna watu wanazakiwa na disorder tena za kimaumbile ambazo zinawazuia kuweza kuwa sexually active ila ni very rare na almost absent kukutana nao katika maisha ya kawaida.

Ila nyie sasa wa kukwepa majukumu halafu mkishazeeka mnakuja kujifanya maisha yaliwatenda kumbe ni utoto wenu, nyie mpo wengi sana nyie na hamuwezi kudanganya lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Selfishness is you living in a community ambayo unachagua kuifanyia ubaya wa kuplant kirusi cha kuvuruga ustawi wake..

Tukiwa primary school mwalimu wetu wa soko la maarifa ya jamii alitupa somo moja simple ila lina maana kubwa sana siku ya usafi.

Alitupeleka kwenye eneo akatuambia mwanafunzi m'moja atupe takataka pale ile sehemu kama ni kifuko cha ubuyu au ganda la pili au karatasi. Kisha tukafanya hivyo. Akatuambia mnaona hiyo karatasi hata haionekani kama ni uchafu maana ni kidogo na imetupwa na mtu m'moja.

Haya kila mtu akaokote takataka ataupe hapo kwa kadiri utaweza. Ndani ya muda mfupi lile eneo lilikuwa limejaa taka na likawa chafu tena.

Akatuambia ndivyo hivyo hivyo na mtaani huko au njiani unapopita unatupa taka ukiamini uko pekee yako. Watatokea wengine wataona uchafu wako wataamini hapo ni jalalani na ni sawa tu kutupa taka kama wewe ambaye hawajakuona.

Utaacha trail ya watupa uchafu ambao ni matokeo ya kukuiga wewe muanzilishi hadi eneo litakuwa halitamaniki tena na litakuwa ni jalala na kila mtu atalalamika harufu mbaya na uchafuzi wa mazingira.

Apply hiyo concept kwenye huu mjadala kwamba, leo wewe ni mtu m'moja umeamua kufanya hivyo, watokee mabinti wanaokufahamu na kukuiga kama dada,shangazi,mama yao mdogo, mwalimu wao kwa mfano, waaamue kutokuwa serious na mahusiano wengine wakazaa bila ndoa na wengineo wakasema hawatapata watoto kabisa au watapata mtoto m'moja tu then basi.

Sasa assume kuna sampuli yako muwe kama milioni 10 maeneo tofauti.

Je unajua madhara yake katika jamii eneo la idadi ya watu?

Je unajua madhara yake eneo la Ndoa?

Je unajua madhara yake eneo la kodi za nchi?

Je, unajua madhara yake eneo la nguvu kazi ya taifa?!

Madhara ni mengi. Nenda katazame data juu ya population ya US kwa sasa na Ulaya. Wamejaa immigrants ndio wanashika uchumi wa taifa maana raia walikuwa na akili kama hizi zako ikaaffect idadi ya watu na kuathiri mipango ya serikali.

Kuna mengi hauyafahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
We babu usiniquote tena, na maessay yako yaliyojaa utopolo
 
Nichutame kwa ajili yako?? embu chukua time huko
Alafu ukiwa unatoa disvalues kuhusu discussion za hapa usipende kuwataja wamama,
Huoni kwamba unajidhalilisha nakudhalilisha jinsia ya kike kwa ujumla.wataje wanaume sawa mpendwa.
Mfano ungenambia mimi ''MJINGA BABA ANGU''ingependeza sana.
 
Back
Top Bottom