Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,341
- 2,121
Umenijibu wapi au hivyo kufagia kwamba nimedecorate ndio umenijibu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ni misogynist per se,Unajua maana ya misogyny wewe?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Misogyny ni mtu anaechukia uanamke au kuchukia wanawake
Sasa unamke ni kuolewa, kujifungua watoto, kuwa mke kwa mume, kunyonyesha mtoto, kuwa bibi, kuwa mama, kupika chakula kizuri kwa familia, kuwa mfariji, kuwa msiri. Yaani kuwa na mambo yanayoitwa ya kike.
Sasa mtu unachukia kuolewa, hutaki kuwa na watoto, hutaki mahusiano na wanaume, hutaki kuvaa nguo za kike napenda kampani ya kiume, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu unaita wanaokuhoji kwann u atabia hizo kuwa ni misogynists kwamba wanachukia uanamke?!
Hivi unakuwa serious au unahitaji msaada ila unashindwa kunyoosha maelezo?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Selfishness is you living in a community ambayo unachagua kuifanyia ubaya wa kuplant kirusi cha kuvuruga ustawi wake..This type of thinking is so selfish, rudia kusoma ulichoandika
Hiyo exposure umeona ilichokufanya sasa hadi 39 hakuna hubby [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Exposure mmekosa nyie, mmesoma lakini mawazo yenu ya kijima.
Upo sahihi wanawake ambao umri umeenda watamu sanaKuna moja naichapa ina 37 saiv ni sweet, tight, wet na ina joto kuliko hawa early na mid 20's wengi niliochapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora nisiwe na hubby kuliko kuwa na hubby mwenye mawazo ya kijima km wewe, Huyo mkeo ana kaziHiyo exposure umeona ilichokufanya sasa hadi 39 hakuna hubby [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi wanajiita kizazi cha fisi sijui. Yaani YOUNG, WILD & FREE.Tatizo lako utoto unakusumbua alafu unafikiri you will stay fresh and strong forever
Time will tell
Bakuli gani mbona hana hata hotpot hapo acha kumletea stress mtoto wa mwanamke mwenzako tena kutoka kwenye NDOA. Hebu fanya uolewe hizi stress ukampelekee hubby wako.Acha matusi ya reja reja, kama umeshindwa kuingia kwenye mjadala au hujui uingiaje..funga bakuli lako.
Umejibu vizuri sana, most of the ladies wanakuaga na stupid mind hasa kwenye ages ya 21-30yrs yaniSizan Kama Kuna mwanamke mzma kiafya na kiakili akawa hataki kuolewa!!! Ila sema weng wao wanataftaga mwanaume mweny class furan na wa daraja la chini hataki.
Naunga mkono hoja''HUYU NI MJINGA''Ndiyo maana nikasema hivi huna uwezo wa kujadiliana na mimi sababu hata maana za maneno huzijui. Hakuna tusi hapo nililo tukana, sisi Waswahili tunajua matusi ni nini, sasa unapoambiwa mjinga na kweli umjinga hujatukanwa bali umepewa stahiki yako.
Umetumia tena tamko "Mnafiki" mahala si pake sababu tukichambua neno hilo mimi sina alama za unafiki. Nakuita tena wewe ni mjinga na ni mjinga kweli, hii ni sifa yako.
Sasa usilazimishe ukweli ukauita matusi hili haliwezekani hata ubinuke.
Hakuna cha Exactly hapa. Nani kakulazimisha? Umepewa maelekezo na utayafuata. Tafuta hata libabu hapo likuoe.YEAH EXACTLY, ndio mzizi wa topic hii...hakuna KULAZIMISHANA, case closed.
Wewe ndio Una stress kutaka kununua ugomvi usiokuhusu, mwenyewe kafunga Bakuli lake au hujaona?Bakuli gani mbona hana hata hotpot hapo acha kumletea stress mtoto wa mwanamke mwenzako tena kutoka kwenye NDOA. Hebu fanya uolewe hizi stress ukampelekee hubby wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hasira sasa. Unagombana na watu huwafahamu pengine ni shemeji yako mtarajiwa au ndio le hubby.POTEA HUKO, eti sina uwezo wa kujadiliana na wewe, usiniquote basi??? mpuuzi tu wewe...eti huna unafiki...kafie mbele...wewe ni mnafiki tena mnafiki per se! tapika basi?!
Kamwambie mamako ndio alitafute libabu, kulazimisha huoni unavyotaka kulazimisha watu waolewe utadhania wanakuhusu…Hakuna cha Exactly hapa. Nani kakulazimisha? Umepewa maelekezo na utayafuata. Tafuta hata libabu hapo likuoe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe shida yako nini nikigombana nao?Acha hasira sasa. Unagombana na watu huwafahamu pengine ni shemeji yako mtarajiwa au ndio le hubby.
Sent using Jamii Forums mobile app
MJINGA MAMAKOUmejibu vizuri sana, most of the ladies wanakuaga na stupid mind hasa kwenye ages ya 21-30yrs yani
Siongei kwa kusikia bali hata mimi yamenikuta nikiwa nasoma bweni ukirudi kitaa unatongoza demu kisa pc kali inajikuta keki kinyama, mjuba nikampotezea nikatoboa School advance, nafika chuo nashangaa ghafla simu, nikapokea anajitambulisha mi fulani nikaanza nae nikaoa ndio mke wangu,
juzi narudi job nakuta anasimulia ujinga wake ati anawakanya watoto.mwanaume nikashindwa kujikaza nikampa maneno yake palepale sikumbakisha kudadeki zake.
Naunga mkono hoja''HUYU NI MJINGA''
Unazidi kudhihirisha UJINGA wako.MJINGA MAMAKO
Hakuna hapa mnakuja na vimajina vya kizungu vya kuunda unda ili mtengenezee hoja za uongo uongo hapa ili kupotosha.Au mtu asexual anatakaje kuolewa kwa mfano
Watu wanafikiri binadamu wote duniani wameumbwa sawa
Yani kuna vitu wanaandika unaona kabisa ni nadharia na siyo uhalisia
Nichutame kwa ajili yako?? embu chukua time hukoUnazidi kudhihirisha UJINGA wako.
Ungechutama kwanza ujue huna nguo au hujioni?
We babu usiniquote tena, na maessay yako yaliyojaa utopoloSelfishness is you living in a community ambayo unachagua kuifanyia ubaya wa kuplant kirusi cha kuvuruga ustawi wake..
Tukiwa primary school mwalimu wetu wa soko la maarifa ya jamii alitupa somo moja simple ila lina maana kubwa sana siku ya usafi.
Alitupeleka kwenye eneo akatuambia mwanafunzi m'moja atupe takataka pale ile sehemu kama ni kifuko cha ubuyu au ganda la pili au karatasi. Kisha tukafanya hivyo. Akatuambia mnaona hiyo karatasi hata haionekani kama ni uchafu maana ni kidogo na imetupwa na mtu m'moja.
Haya kila mtu akaokote takataka ataupe hapo kwa kadiri utaweza. Ndani ya muda mfupi lile eneo lilikuwa limejaa taka na likawa chafu tena.
Akatuambia ndivyo hivyo hivyo na mtaani huko au njiani unapopita unatupa taka ukiamini uko pekee yako. Watatokea wengine wataona uchafu wako wataamini hapo ni jalalani na ni sawa tu kutupa taka kama wewe ambaye hawajakuona.
Utaacha trail ya watupa uchafu ambao ni matokeo ya kukuiga wewe muanzilishi hadi eneo litakuwa halitamaniki tena na litakuwa ni jalala na kila mtu atalalamika harufu mbaya na uchafuzi wa mazingira.
Apply hiyo concept kwenye huu mjadala kwamba, leo wewe ni mtu m'moja umeamua kufanya hivyo, watokee mabinti wanaokufahamu na kukuiga kama dada,shangazi,mama yao mdogo, mwalimu wao kwa mfano, waaamue kutokuwa serious na mahusiano wengine wakazaa bila ndoa na wengineo wakasema hawatapata watoto kabisa au watapata mtoto m'moja tu then basi.
Sasa assume kuna sampuli yako muwe kama milioni 10 maeneo tofauti.
Je unajua madhara yake katika jamii eneo la idadi ya watu?
Je unajua madhara yake eneo la Ndoa?
Je unajua madhara yake eneo la kodi za nchi?
Je, unajua madhara yake eneo la nguvu kazi ya taifa?!
Madhara ni mengi. Nenda katazame data juu ya population ya US kwa sasa na Ulaya. Wamejaa immigrants ndio wanashika uchumi wa taifa maana raia walikuwa na akili kama hizi zako ikaaffect idadi ya watu na kuathiri mipango ya serikali.
Kuna mengi hauyafahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu ukiwa unatoa disvalues kuhusu discussion za hapa usipende kuwataja wamama,Nichutame kwa ajili yako?? embu chukua time huko