Mojawapo ya miiko ya teuzi na uongozi ukienda mataifa yote ni hiyo lazima public servant awe ni mume au mke wa ndoa na mtu mwingine.
Nje ya hapo huko maofisini ni kuleta uzinifu, kutengeneza safari na wake za watu au waume za watu na kuharibu ustawi wa jamii.
Hii inalegezwa sasa inaleta picha mbaya. Tazama watu kama akina Jokate wanabeba ujauzito wakiwa katika ofisi ya uma, na hajawahi kuolewa wala hatujui anatoka na nani.
Huyo ni public figure kuna mabinti kibao wanamtazamia kuwa ni mfano wa kuigwa. Watoto wa kike wanatabia ya kuiga mabaya zaiid kuliko mazuri maana mazuri ni kazi sana kuyasimamia tofauti na mabaya ambayo yana nguvu kali ya ushawishi.
Na ukienda bungeni pale eneo la viti maalumu tazama kumejawa na wadada ambao ni wamezaa na wanaume za watu na wengine kama wakina mdee hawajulikani wapo na nani hii ni mbaya ya sana kwa taswira ya taifa na sura ya uongozi wa kike na wa kiume.
Mbona kila mbunge wa kiume pale ukitafuta picha yake na mke wake utaiona sijaona kiongozi wa kiume ambaye hana familia yake ya ndoa ya mke na watoto. Wote wapo vema. Ila wanawake wamejaa pale kundi kubwa ni singles, single mothers.... Hili ni janga kubwa sana linahitaji vita kubwa kulitokomeza.
Sent using
Jamii Forums mobile app