Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

nakuunga mkono,upo sahihi kabisa
 
I'm 34 single ,na enjoy life no tress ,,and life is so beautiful..........hakuna mashaka....sijawa bibi,ndo kwanza as beautiful as creopatra...
Pole sana mdada,jitahidi kumuomba Mungu sana ili nawe upate wako,kila kiungo mwilini kimeumbwa kwa kazi maalumu
 
😳😳😳
 
Aisee, hii ya watoto ndio kabisaa... nikisema sitaki watoto in this lifetime na sina tatizo lolote ( watanzania hua wanapanick ajabu lol)
Kweli ni stage ya ushamba, kuna siku haya mambo yatakua accepted kwenye hii jamii.
 
Exactly, thread nzima imejaa comment za wanaume wakiforce kuelezea experience ya women 35+...
Hawa ni transgender? Maana hakuna a day in their life wamewahi kua wanawake (XY chromosome) mscheew
Men need women, for women sio lazima ( watasema tunajifariji, ngoja niishie hapa)
Thumbs up to you for holding your own agaisn’t misogyny!!
 
Aisee, hii ya watoto ndio kabisaa... nikisema sitaki watoto in this lifetime na sina tatizo lolote ( watanzania hua wanapanick ajabu lol)
Kweli ni stage ya ushamba, kuna siku haya mambo yatakua accepted kwenye hii jamii.
Tatizo ni pale umezeeka alafu hujiwez nani atakuudumia ndo umuhimu wa watoto unapoonekana na faraja ukiwa Mzee huna hata mtoto mmoja ni janga kubwa, kama hutaki ndoa at least uwe na mtoto
 
PUMBA, unadhania ukiniattack utapata credit? mpuuzi tu wewe
 
Sio kuforce Bali human nature huwez pigana na human nature ndo jamii ya wazungu ina depression, addiction, higher suicide kwenye Kuna vitu havina replacement
 
HUnijui na itabaki kuwa hivyo,umeshindwa kupinga hizo hoja umebaki kusema na decorate...acha viroja!
Kuna mtu alikua kama wewe amekuja kuwa Mzee hakuna wa kumuangalia aliishi uzee wa mateso atakayekuwa na huruma na wewe kwa asilimia kubwa ni watoto wako

Na ndoa pia inaleta faraja ogopq sana loneliness
 
Tatizo ni pale umezeeka alafu hujiwez nani atakuudumia ndo umuhimu wa watoto unapoonekana na faraja ukiwa Mzee huna hata mtoto mmoja ni janga kubwa, kama hutaki ndoa at least uwe na mtoto
This type of thinking is so selfish, rudia kusoma ulichoandika
 
Wanawake wanao jiona wasomi au kujiita wasomi ni wajinga mno. Sasa huyo unaye jadiliana naye hajaona kama analo tatizo.

Kuna umri ukifika sokl unakuwa huna zaidi ya kutumika tu.
Acha matusi ya reja reja, kama umeshindwa kuingia kwenye mjadala au hujui uingiaje..funga bakuli lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…