Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Acha matusi ya reja reja, kama umeshindwa kuingia kwenye mjadala au hujui uingiaje..funga bakuli lako.
Huwa situkani bibie kwangu matusi ni dhambi.

Nimeandika ukweli na huna uwezo wa kujadiliana na mimi. Bora nijadiliane na werevu elfu moja watanielewa kuliko kujadiliana na mjinga mmoja kama wewe lazima utanishinda tu.

Wewe mimi nakwambia ukweli tu kisha nashika njia, ukubali ukatae hilo utajua wewe.
 
HAHAAAA eti huna matusi,na humo humo unatukana....wanafiki kama wewe mfe tu, mtupunguzie mzigo katika jamii.
 
HAHAAAA eti huna matusi,na humo humo unatukana....wanafiki kama wewe mfe tu, mtupunguzie mzigo katika jamii.
Ndiyo maana nikasema hivi huna uwezo wa kujadiliana na mimi sababu hata maana za maneno huzijui. Hakuna tusi hapo nililo tukana, sisi Waswahili tunajua matusi ni nini, sasa unapoambiwa mjinga na kweli umjinga hujatukanwa bali umepewa stahiki yako.

Umetumia tena tamko "Mnafiki" mahala si pake sababu tukichambua neno hilo mimi sina alama za unafiki. Nakuita tena wewe ni mjinga na ni mjinga kweli, hii ni sifa yako.

Sasa usilazimishe ukweli ukauita matusi hili haliwezekani hata ubinuke.
 

POTEA HUKO, eti sina uwezo wa kujadiliana na wewe, usiniquote basi??? mpuuzi tu wewe...eti huna unafiki...kafie mbele...wewe ni mnafiki tena mnafiki per se! tapika basi?!
 
Daaah my lecturer taught me,, how people hide their pain in sentences leo ndo nimeamini pole lakini
Mkuu kwenye huu uzi nimekukubali! Umepigilia misumari ya moto kweli kweli!! Hawa wanawake wanaleta ubishi tu ila wangetuliza akili wangetoka na madini mengi sana kutoka kwenye comments zako! Kudos Samcezar
 
Au mtu asexual anatakaje kuolewa kwa mfano

Watu wanafikiri binadamu wote duniani wameumbwa sawa

Yani kuna vitu wanaandika unaona kabisa ni nadharia na siyo uhalisia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni asexual? Hao Ace ni wangapi in a million katika jamii? Halafu kuna comment moja ya Samcezar ameelezea kuhusu lesbos Kwamba hamna jambo la hivyo bali ni ugonjwa wa akili tu! Akija mwenyewe atakutag!! Ukipigwa pu*mbu vizuri hakuna cha ulesbo wala nini!! Oleweni acheni vizisingizio!! Itasaidia katika ujenzi wa taifa!! Maendeleo ya taifa lolote basic yake ni kuanzia kwenye family level!! Ebo
 
Zamani nilikuwa kama wewe baada ya kujua Dunia nikaona ni mambo ya kishamba tu. Acha watu waishi maisha yao.
Huwezi kuijua Dunia maana ina mambo mengi. Kuna maswali nikikuuliza hapa hautaweza nijibu maana utatambua kuwa hakuna unachojua kuhusu topic nitayokuuliza.

Kimisingi maisha kwa ujumla wake yanaundwa na mifumo miwili, ya kujenga na kubomoa.

Huo mfumo unaousemea wewe ni wa kubomoa na jamii ya sasa ndio inabomoa. Watakaokuja kulipia gharama ya uharibifu wetu ni watoto na wajukuu wetu.

Hujui madhara ya maisha nje ya mfumo rasmi wa ndoa na familia ni vema ukauliza. Ila sio unakuja hapa unaunga mkono mfumo wa uharibifu halafu unataka kuhalalisha hoja yako kuwa ni halali kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema vizuri sana. Kuna Misukule hapa inajifanya ni gentlemen inatoa faraja za unafiki kwa hawa wadada bila kuelewa madhara ya kufariji mtu anaekwenda siko.

Yaani mtu anakuona unaelekea kwenye kingo ya mwamba unaoning'inia mlimani juu ya korongo refu sana halafu anakushangilia na kukupa moyo kuwa endelea kwenda mbele ni maamuzi yako mtu asikuingilie.

Ufala sana. Sisi tutaendelea kuwasakama kwa nia nzuri ya kuwaokoa na majuto ya vizazi na vizazi. Yaani ni mwendo wa Kusukuma ndani.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu anaonekana sio mzima kiakili. Mbaya zaidi imagine ni mwalimu. Hawa watu tunawapeleka kufundisha watoto wetu hatujui wanafundisha na kuongea nini huko madarasani.

Maana sifa kuu za mwalimu ni kuwa mzazi na mlezi wa watoto na jamii. Mmmmmmhmn hii kitu inatisha sana.

Huyu mtumie sms mwambie aende kuonana na wanasaikolojia asaidie kupewa psychotherapy. Hayupo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, hii ya watoto ndio kabisaa... nikisema sitaki watoto in this lifetime na sina tatizo lolote ( watanzania hua wanapanick ajabu lol)
Kweli ni stage ya ushamba, kuna siku haya mambo yatakua accepted kwenye hii jamii.
Una umri gani tuanzie hapo, kuwa honest na umri nikwambie kitu !


Kuna siku niliketi na dokta wa Agakhan Hospital. Huyu dokta alikuwa anatuelezea takwimu za kustaajabisha za idadi ya wanawake wa kitanzania ambao huenda kujifungua kwa operation bila haja ya kufanya hivyo.

Anasema wengi huogopa uchungu sababu waliambiwa na wanawake wenzao uchungu wakujifungua kwa njia ya kawaida so imewatisha wanaona bora operation.


Hili likanifanya nijiulize nini kinawakuta watoto wa kike miaka hii ya sasa?

Mbona kama jamii ibawafundisha kuogopa uanamke na kuufanya kuwa ni jinsia ya kuiogopa sana na kuogopa kuishi kama mwanamke wa kawaida.

Imagine kuna wengine mwili wake unafanya kazi vizuri tu wanaomba kubebewa ujauzito na wanawake wenzao kwa malipo ili tu wao wasihangaike na kubeba mimba.

Aiseee hivi tunakwenda wapi na hii jamii ya sasa?!

Sasa kuna kundi ambalo wewe upo la kusema mimi sihitaji watoto wala sitakuja kupata mtoto.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya misogyny wewe?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Misogyny ni mtu anaechukia uanamke au kuchukia wanawake

Sasa unamke ni kuolewa, kujifungua watoto, kuwa mke kwa mume, kunyonyesha mtoto, kuwa bibi, kuwa mama, kupika chakula kizuri kwa familia, kuwa mfariji, kuwa msiri. Yaani kuwa na mambo yanayoitwa ya kike.


Sasa mtu unachukia kuolewa, hutaki kuwa na watoto, hutaki mahusiano na wanaume, hutaki kuvaa nguo za kike napenda kampani ya kiume, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu unaita wanaokuhoji kwann u atabia hizo kuwa ni misogynists kwamba wanachukia uanamke?!

Hivi unakuwa serious au unahitaji msaada ila unashindwa kunyoosha maelezo?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Make it make sense kuwa nakuattack. I don't engage in a war unless i have something to gain from it.....

Am not waring you stop making this personal.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kuzunguka mbuyu mpuuzi wewe, posts zako zote umeziframe kuni attack, ziangalie tena mpuuzi tu wewe sijui huoni tangia uanze kuniattack kuwa anita ni 39 years of age na good thing about this is age to her has come with maturity, she knows kuna wajinga wajinga mnaochukia wanawake na wenye mawazo ya Kijima, hivyo ku attack ni kawaida yenu….humbabaishi!

Nimeongea vitu vitatu, moja Anita being a woman and being kundi lililotajwa ,nimetoa my own perspective as the topic is relevant to me,sasa wewe unayekuja na msimamo tofauti wangu unanipinga kwa basis zipi, na wakati hujawahi kuwa mwanamke wala kuwa above 35?

Mbili ku measure attitudes za watu huwezi kuja na jibu moja, sababu tuko tofauti, tuna upbringing tofauti, exposure tofauti n.k sasa topic imelenga kujua attitudes zetu sisi wanawake kuhusu ndoa,tumekuja tofauti kuna wanawake wanaona si sahihi na wengine sahihi, kama ilivyo ngumu kuja na jibu moja kuna pia wanaume wanaona tunaoona ni sawa tu tuachwe, sasa kama unashindwa ku observe kuwa jibu haliwezi kuwa moja,sijui tukusaidiaje…

Mwisho nimesema sio lazima watu waone things in the same lens as you are it is what it is, dunia yako ambayo ni ideal sio lazima iwe ideal kwa wote, kulazimisha dunia yako ambayo unaiona ni ideal ndio iwe dunia yetu wote,…ni ujinga…na hautakubalika….!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…