Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Mi nadhani swala la hawa dada zetu kuchelewa kuolewa ni maamuzi tu(baadhi yao)maana unakuta anapata wanaume wengi tu wanataka kumuoa ila yeye anakataa na mara nyingi hasa mwanamke anapokuwa na kipato.Alaf kwa KUCHOMEKEAZ hawa 30+ ni wanawake flani hv wasiokuwa na mambo ya kitoto yani ukiwa nae hakuumizi kichwa coz wengi wanajua maisha,so kuolewa sio lazima ila ni muhimu kama umeshajiandaa vya kutosha
 
Afu mama yangu sidhani kama alistaili kuingizwa hapa dada🙏
Kuna pipoz humu kwenye forum utadhan hazijafuta umande, just discussions but zinapanik kweli kweli.
Kuna mtu yupo mentioned na kila memba anayechangia huu mjadala kwa panik zake sasa tutashindwa kubadilishana mawazo kwakuhofia kuwachafulia mood baadhi ya wachangiaji.

Kwa kawaida ukiona mtu anapanik tena anakua kama mbogo jua lipo tatizo au mada inamuhusu na imemgusa kunako.
 
"nikitaka mechi natafuta kiwanja chochote naenda kuchakachua."

Hiyo paragraph yako ya pili tayari ushakiri kwamba wewe ni MTUMWA ni ngono.

Kuna kipindi binadamu huhitaji ngono, bali unahitaji MWANDANI WAKO mtu wa kukufariji unapopitia magumu ya dunia, mtu wa kukutia moyo na mtu wa kuwa nawe kukuondolea upweke.

Kama hujui upweke unaua na kukuongezea msongo wa mawazo.Ila sio mbaya kama umeamua kuwa chama la wana dunia ni yako chaguo ni lako.

Ila si shangai wengi wenu mpo hivyo, vijana wengi kitaa wanaruka nanyi, sio mbaya wana nao wanasuuza rungu aka kitonga.
 
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Saikolojia ipi mkuu???

Weka references to the book ama websites tuone huo mtindo au mwili wa binadamu unavyofanya kazi asipoolewa....HAHAHHAHAH
ya nini kucharukiana hivyo na hamjuani , mitandao ukiichukulia serious unaweza ishi kwa stress , mtu ishi maisha yako mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo , kula vaa , pumzika furahia maisha , epuka watu wapo negative.
 
Ataweza kuka bila kuzini? Kama kweli hajawahi kulichezea rungu la kipepe ana asilimia kubwa y kukaka bila mwanaume, ila kama alishwahi kuonja utamu wa rungu hawezi kukaza lazima atalitafuta kwa gharama yoyote.

Hivi vitu huku mtaani tuna viona vijana wadogo wanaruka na mishangazi na wengine wanafikia hatua mpaka ya kutongoza vijana wadogo na waume za watu.

Paul na Yesu si watu wa kawaida walishiba roho mtakatifu na kumshika Mungu kwelikweli.
 
 
Unaongea kama choir boy..blah blah nyingi. Hii mifumo inabadilika anytime ndugu yangu narudia toka hapo Tanzania tembea nchi nyingine utagundua kuna mifumo mingi ya maisha zaidi ya ndoa. Nipo curious una support ndoa za kiislamu za wake wa nne?
 
Seeing things is one thing and reality ni another thing,,, una force your perception iwe reality kitu ambacho ni impossible,,

6 itaonekana 9 ukiwa upside down but haibadili the fact kwamba ile ni 6
 
Unaongea kama choir boy..blah blah nyingi. Hii mifumo inabadilika anytime ndugu yangu narudia toka hapo Tanzania tembea nchi nyingine utagundua kuna mifumo mingi ya maisha zaidi ya ndoa. Nipo curious una support ndoa za kiislamu za wake wa nne?
Sio blah blah hoja ni za msingi. Hizo unazoita ndoa za kiislam za wake wa nne ni mojawapo tu ya ndoa ila hata before uislam kuwa introduced mababu zetu walikuwa wanaoa wake zaidi ya 4 wanaoa hadi 12.

So ni makubaliano tu. Kuna wanawake wanapenda kuolewa na wenzake wanaona ni faraja. So it depends na mke kama anataka ama la.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly ni makubaliano na preferences. Kama kuna wanawake wanapenda kuolewa kama kikundi iliwapate faraja basi tambua kuna wanawake hawapendi kuolewa au hawana haraka ya kuolewa. Heshimuni maamuzi ya watu especially kama hayawahusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…