Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Sio kweli Wanaume wanaomtaka mwanamke wote ni WA hovyo sio kweli ni Hali ya kuchagua sana ndo inayowacost wanawake wengi
 
Mwongo wewe
 
mbona sawa tuu....

shida ni pale wengine wanapokuona mkosaji, its your fault and you should feel guilty about it,

lets face it, hata km Mungu angeumba wanawake population sawa na wanaume, still sio wanawake wote wangeolewa due to other factors as well,

yes im 39 single, dont feel sorry for me, there's nothing to feel sorry about and dont bother make me feel guilty, you wont suscseed..lol
 
Mh
 
Yaani hyo paragraph ya kwanza tunadanganywa sana.
 
itakua hawajaamua tu kutafuta mume, ila wakitafuta watapata ndani ya muda mfupi tu
 
Kwa sababu kisaikolojia najua unaumia.
Najua haupo sawa ila hautakubali.
Watu wa jamii hupenda kujionesha wako very stable na strong ila wakiwa chumbani peke yao machozi ya damu hulindima kwenye mashavu yao.
Yaani wewe ndio unafit perfectly nilivyodescribe hapo juu...

Mnataka tuwe watu waku feel sorry for ourselves, sad, tulie...

Mkikuta hali ni tofauti,napo hamuamini,,,

Mnakuja na story za kujifanyisha, kwamba tunajifanyisha tuko strong...

Yote ni sababu mnaamini kutokuolewa ni kitu cha kinyonge, mtu lazima afeel sad,

Bro huwezi kujua perfectly kutokuolewa kuna feel aje,....

Zote ulizonazo ni imaginations/assumptations tu...

Again, there's no guilty about it, and there's no kujifanyisha strong either...
 
Acha wateseke wangese hao wanaliwa sana wakiwa toka wadogo umri huo wengi ukipiga shoo ni unaelea tu hamna lolote, mwanamke 20+ wanakuwa mabibi tayari bondeni huko mtaa wa K-Vant ndio mkute kazaa au katoa mimba kama zote mbinue vipi ndio kwanza asubiri ujimalizie tu. Mlango wa uani ndio ovyo miharufu kama yote, mapaja mikovu kama yote sijui misukule
 
Karma is a bitch and its real ma single mother wakae Kwa kutulia
 
Mimi sisemi na sitaki ujihisi mnyonge kwa Kukosa kwako mume.

Ila saikolojia haidanganyi na wewe huwezi kuiepuka.

Ni mtindo wa mwili wa binadamu unavyofanya kazi hivyo unateseka, unatamani ila huna jinsi lazima ujitahidi kujionesha upo strong na stable ila deep down unaumia, hauna raha na umechoka kudandia waume za watu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Nilikwambia kwenye Ile post hautakubali na umeonyesha dhahiri ila Mimi ni nani wa kuamua enjoy maisha yako, maana muda haurudi nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…