Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

MNhhhh........ NOT everybody see things how you see...so how you see things can be irrelevant..your subjective shit experience and how you see it is NOT what kutokuolewa means for Anita.
I know. But we both now know how u feel in other words, a police officer and a criminal now how and why crime happens.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unavyomuona Anita muone hivyo hivyo...ila hii haimaanishi ndivyo anavyojiona,

Si kweli wote wasioolewa wanajuta, au watajuta....

Na si kweli wote walioolewa hawajutii uamuzi huo...
 
Kama umekubali huwezi kujua mawazo ya watu, case closed, huwezi kuwa certain watu wanaathirika kisaikolojia kama hawaolewi....sababu wapo ambao hawajaathirika. bye
Hakuna mtu wa hivyo. Labda kwenye movie. Trust me ndio is the number one purpose why wanawake wapo Duniani. Kama unabisha peleleza.

Maisha nje ya ndoa kwa mwanamke ni hell fire.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawapo pekee yao. Wapo wengi sana. Na hii huwakuta mabinti ambao wamekataa sana wanaume serious at a very young age kipindi wakiwa hot cake. Mfano, Wema sepetu.

I know this kind kuna m'moja ashapigwa sana miti na alikuwa pisi tu, sasa ni 38, anataka serious man wa kufunga nae ndoa ili apate mtoto na kuanzisha familia.

Dah, huwa nasema aisee MUNGU asante kwa kunileta Duniani kama mwanaume maana ningekuwa mwanamke halafu nikakosa akili kama hawa ninaokutana nao ningekuwa katika hizi situation zao za kukwama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…