Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,341
- 2,121
Hakuna mtu wa hivyo. Labda kwenye movie. Trust me ndio is the number one purpose why wanawake wapo Duniani. Kama unabisha peleleza.
Maisha nje ya ndoa kwa mwanamke ni hell fire.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mbona bado hata 30 tu hujafika... Huu ni wakati wako kuleta hayo majibu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naongezea na kingine,,mzabzab wewe malaya sana hatutawezana
Kumbe ndo inavyokuwaga mwishowe... Baada ya kutoachieveKuolewa siyo life achievement.
K-Vant 35+ hamna kitu acha ziteseke tu unatindua unasepa design ndio zimewaringia sana Kaka zetu kitambo acha tuzinyooshe, Mi nazitapindua kinoma swaga kama zote.Lugha yako chafu uliyotoa humu kwenye hii topic, inanifanya nisi argue na wewe, please usini quote, no time to argue with fools.
K-Vant 35+ hamna kitu acha ziteseke tu unatindua unasepa design ndio zimewaringia sana Kaka zetu kitambo acha tuzinyooshe, Mi nazitapindua kinoma swaga kama zote.
MhhhHivi kufikia muda umri huo kinakuwa kimekauka eti?
Maisha ya upweke hayoNi stage ya ushamba kama jamii tunapitia. Baada ya muda kidogo hakuna atakayekuwa akimshangaa mwanamke au mwanaume anayezeeka bila kuolewa.
Mmmmmmhmn ni kweli pia at this certain age kuna watu wanajaribu kurudi shule wasome just kufulfil ile desire ya kuwa msomi ila sasa its pointless maana umri umeshaenda.Sadly there are matured women pass this age who gets married daily,..first,second,third marriage....i have been lucky to witness this..pole we!
Anita makirita soma hiyo Toka kwa jinsia yako.Sidhani kma kunamwanamke hataki ndoa hasa umri kma huo ila wengi labda wameumizwa sana huko nyuma wakaamua kuachana na mapenz ila kiuhalisia sidhan kama inawezekana
I know ila still we can see it and it matters to us. Sababu we say this hapa kila siku.I told you what you see doesn't matter to me.
[emoji23][emoji23][emoji23] we pray for youBado tuna matumaini [emoji55][emoji2418][emoji55][emoji2418]
Tukibahatika tutaolewa hata uzeeni.[emoji57]
Leo tu hapa naburuza Sasa hivi limelala hapa na Limenikabishi laki5 na JackD nakamua, saa 7 na nusu naliamsha natindua hadi asubuhi, ntamkaba Kaba hadi akome, tukiamka baby kama zote,Ukimaliza kakojoe kalale...
Mmmmmmhmn ni kweli pia at this certain age kuna watu wanajaribu kurudi shule wasome just kufulfil ile desire ya kuwa msomi ila sasa its pointless maana umri umeshaenda.
Kuna vitu umri ukishaenda ukivifanya vinakuwa havina maana tena na hata jamii inaona ni kituko.
Umri wa ndoa kwa mwanamke ni chini ya 30. Kuanzia 31 kwenda juu then know haupo serious na mipangilio yako ya maisha.
Sasa wewe unasema above 39 umeona wanaolewa kwenda kugundua nini tena katika ndoa?
Umri huo hauna experience ya kukaa na mume tena. Umeshaonjwa hadi basi, mwili umeshaanza kupoteza mvuto, hata ukitafuta mtoto unamleta ukiwa hauna experience ya kuwa mzazi maana haujawahi kuwa na mtoto kuna vingi utakuwa haujui plus stress za maisha sijui utacoupe vipi na malezi ya watoto.
Its a known and open truth that mwanamke ukifika 35 kwenda juu hauna mahusiano serious na haukuwahi kuwa katika mahusiano serious then jua tu umeshachana mkeka. Yaani umedisco mahusiano. Unachojaribu kufanya ni kuigizia kuwa katika mahusiano but hayatakuwa serious maana utakutana na takataka au mabaki ya wanaume katika umri huo wenye matatizo ya kila aina katika past relationships zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hence life = marriage. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuolewa siyo life achievement.
Kuolewa si lazima.Kumbe ndo inavyokuwaga mwishowe... Baada ya kutoachieve
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama movie zina akisi maisha yetu naomba unionyeshe spiderman, iron man, Batman, Hulk, na superman wanaishi mkoa gani?Eti labda kwenye movie, hujui movie zinawekwa kuakisi maisha yetu?, maisha nje ya ndoa ni hell fire??ukiambiwa mlete facts kwa nini mnasema hivi mnabaki kuzunguka mibuyu!
🚶🤣🤣🤣Hence life = marriage. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnajifariji balaa yet mkiona wanawake wenzenu wanacheza kwaito kwenye ndoa zao mioyo inakaangika kwa maumivu. Msifanye kuwa hatuwaoni nyuso zenu pale mnakwenda katika kumbi za harusi halafu mnaona wenzenu waliokwisha olewa wakiingia na wanaume wao wa NDOA na watoto wao kwa uhuru Kabisa na kujiachia wakiitwa mr. & Mrs fulani wakiketi kwa mahaba na uhalali wa kiimani na kisheria kama mume na mke.
Huku wakitazama mwenzao mwingine akiingia ukumbini na mume wake katika tafrija ya ndoa yao changa. Huwa tunawatazama sura zenu namna mnakuwa mnaforce kutabasamu huku sura zimekaza kwa huzuni na maumivu ya ndani kwa ndani mkijinenea kuwa MUNGU baba na mimi lini.
Ila mnasahau mlikataa mlioletewa nae sababu hawakuwa vile mnataka wawe mabishoo kama akina mlela. Tangu lini type za akina mlela zikawa waowaji na husband material?
Sent using Jamii Forums mobile app