Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
-
- #61
Mtoa mada hana guu na mtindi wa kutosha? Hahahaha
Hehe ni kweli we waangalie kina Anna makinda, ndalichakoHata darasani wadada wenye akili asilimia kubwa wanakuwaga na sura personal hahaa (sio wote lakini)
We Aggy Mungu anakuona ujue...mtaani hatuitwi na hapa unataka tukose hata like kweli?
Hapo ndio unapokosea sasa! Haya mambo hayajalishi umri. Mbona Emmanuel Macron kaoa mwanamke amemzidi miaka kibao na bado ikulu pale Paris wamekaa kwa amani kabisa mambo yanaenda sawa bin sawia?Hahaaa tatizo me dadako
Umeona eeh? Nawaangalia tu mimi hapa wanavyojichetuaHahah nnacho ikubali JF ni kwamba sie ma Men wote hapa tutajifanya tunawakubali kichiz hawa wenye sura za baba
We have no choice hahaNnachowapendea wanawake sura ngumu ni utulivu wao tu. Hawana makuu kwa sababu soko lao lipo chini
Hahahhaha ni sawa tu, tunaaamua kuwaambia wanawake mnachopenda kukisikiaUmeona eeh? Nawaangalia tu mimi hapa wanavyojichetua
Hehe na mfano juu umenleteaHapo ndio unapokosea sasa! Haya mambo hayajalishi umri. Mbona Emmanuel Macron kaoa mwanamke amemzidi miaka kibao na bado ikulu pale Paris wamekaa kwa amani kabisa mambo yanaenda sawa bin sawia?
Machalii wa siku hizi mna vituko aiseeHapo ndio unapokosea sasa! Haya mambo hayajalishi umri. Mbona Emmanuel Macron kaoa mwanamke amemzidi miaka kibao na bado ikulu pale Paris wamekaa kwa amani kabisa mambo yanaenda sawa bin sawia?
Hahah nnacho ikubali JF ni kwamba sie ma Men wote hapa tutajifanya tunawakubali kichiz hawa wenye sura za baba
Ni kweli mkuu.. HatujiaminiNyie ndio wife material sasa. Ninammoja huyo sema huw hajiamin coz muonekano wangu ananiona kama niko level za juu zaid yake. Basi kajaa hofu muda wote
Nu kweli na ndo Uanaume huoTunapiga miguu yote mkuu....mwanaume hachezei nafasi
Kidogo tu nilirithishwa na babu
Ewaaaa ,swadaktaTunapiga miguu yote mkuu....mwanaume hachezei nafasi
Ni kweli mkuu.. Hatujiamini
Hasa ukipata mwanaume mwenye kasura kazuri ndo kabisa yani unajiona kama we ndo mwanaume
Ukiwa amongst wadada wenye sura nzuri unahofu mpenzio anaweza kukubwaga
Stress tupu
Ndo hivo..Kweli shogaa[emoji23][emoji23]..ila sis ndo tuna akili ujue
Alafu tunanyenyekea maana tunajijua tulivyo
Kivipi Mkuu..Mbona wanawake mnapenda kujioffend wenyewe sana??