Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Nyie ndio wife material sasa. Ninammoja huyo sema huw hajiamin coz muonekano wangu ananiona kama niko level za juu zaid yake. Basi kajaa hofu muda wote
Ni kweli mkuu.. Hatujiamini
Hasa ukipata mwanaume mwenye kasura kazuri ndo kabisa yani unajiona kama we ndo mwanaume
Ukiwa amongst wadada wenye sura nzuri unahofu mpenzio anaweza kukubwaga
Stress tupu
 
Kweli shogaa[emoji23][emoji23]..ila sis ndo tuna akili ujue
Alafu tunanyenyekea maana tunajijua tulivyo
Ndo hivo..
Sura yenyewe ndo hiyo jeuri uitoe wapi
Ukiachwa ujue una kazi ya ziada kumpata mingine [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom