lito bebe
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 277
- 358
Hatuna mbwembweHamnaga mambo mengi nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuna mbwembweHamnaga mambo mengi nyie
Marahaba
Wanaume hatupendi stress halafu wanakuwaga na roho nzuri na kujituma pia wansjituma sana
Unaweza kuta hata huna sura mbaya kama udhaniavyo. Uzuri pia uko machoni kwa mtu. Unaweza kuona chongo kumbe mwingine anaona kengeza.Nina sura mbaya lkn naipenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh Mungu anakuona
Sure espy. Unajua kila mtu ana jinsi ya kutafsiri uzuri wa mwanamkeKwa kutupa tu moyo hamjambo, hebu semeni ukweli bwana msitupake mafuta kwa mgongo wa chupa.
Kikubwa kujiamin tu pamojaUnaweza kuta hata huna sura mbaya kama udhaniavyo. Uzuri pia uko machoni kwa mtu. Unaweza kuona chongo kumbe mwingine anaona kengeza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila kweli aiseee vile najiona sina mvuto wa sura na nimepata wa kuivumilia lazima nijitume[emoji38]
Kabisa yaniHatuna mbwembwe
uzoefu wangu unaniambia wenye sura ngumu wengi wao wana roho nzuriWewee... Haya tiririkeni
mbona wewe mcute tu, kuna wenye sura chachuBora umenikumbuka
Umri unaruhusu mkuuHahahahaa kwan ushakuwa mkubwa
Ndio uhalisia huo, haya mengine ni mihemko tuEndeleeni kuwapa moyo
Sure espy. Unajua kila mtu ana jinsi ya kutafsiri uzuri wa mwanamke
[emoji23][emoji23][emoji23] poleniChangamoto tunazo kutana nazo ni kukimbiwa na Kuja kuanzishiwa Nyuzi/Mada JamiiForums [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]