Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Mali ngumu ya umma mpwa..
Unasema......
20181115_150823.jpg
 
[emoji39][emoji23] mpwa acha habari zako bwana...
Nimeshajiandaa kuona mambo adimu ujuwe..
Mambo adimu yapi bhana wakati kila ukikatiza kona 2, unakutana na mizigo ya kila kilogram mpwa.
Au wataka na hili pia ushuhudie?
 
Mambo adimu yapi bhana wakati kila ukikatiza kona 2, unakutana na mizigo ya kila kilogram mpwa.
Au wataka na hili pia ushuhudie?
Naam mpwa, nataka kushuhudia hilo zigo, nipate kulivutia kasi..[emoji39]
 
Mtaani kunae wadada wawili...mmoja anae Sura nzito kama futari ya magimbi...na mwingine anae sura ngumu kama sahani ya mfupa.....WANATUMIKA BALAAA [emoji119]

#SITAKI_MASUALI [emoji120]
 
Back
Top Bottom