Wanawake wenye tabia za kiume wanakera sana

Wanawake wenye tabia za kiume wanakera sana

Ndio vivyo hivyo hata Mtoto wa kiume,,,akiwa na tabia za kike unakera pia!!
 
Mikoa ipi mkuu , kila kabila Tz lime mshape mwanamke kulingana na mahitaji yao , shida ilianza tulipo oana kabila moja kwa jingne ,tukaanza kuona hizo tofauti , mfano kwa wachaga hakuna hisia bila kuwa na pesa , apo ukijichanganya lazima uumie .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mahali hujamgusa vizuri mkuu mbona wanalegeaga tu Hao chaap.....tumia uanaume wako vizuri mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mfundisheni mwenzenu.
 
Kuna dada mjeda ana sura nzito km tope alafu ngozi imeshuka km kamwagiwa uji uliopoa uwe unashuka sasa slowly…… namuwazaga sijui ndani inakuwaje na mumewe?!!

Muda wote mkali km pilipili, wanaume nawapongeza kwa kutuoa na mapungufu yetu aiseee na ile rangi ilivyo nyeusi tiii km usiku wa balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufaaaa mimiiii mwenzenu, kwa kuchekaaaaa, khaaaaaah
 
Katika pita pita zangu mademu wenye sura za baba zao ni wagumu Hadi kukojowaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mna nini lakini nyie watu, nacheka km mwendawazimu.
 
Tabia (unaweza ifanya ikawa weak au strong ).. kama una mwanamke ana tabia za kiumez tafuta weakness yake, mfunike na kifuniko cha mapenzi na atakuwa na tabia za kike.

Mwanamke yoyote anataka kupendwaa.. ukiona wako ana tabai za kidudubaya.. ujue kuna mahala ujacheza napo.. sio mbinu ya hakika 💯
wewe uko sahihi sana.... ukiona mwanamke anatabia za kiume ujue kuna mahali umeyumba🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom