Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

Status
Not open for further replies.
Tunafahamu mnaumia na nyie ndio mnafeel the way inauma hiyo,

Poleni na tunawaombea mpate njia salama ya kupunguza/kujikinga isiyo na changamoto mbeleni

Bibi yako wa miaka hiyo/ex alikuwa anapata homa kabisa na alikuwa anapenda nimfanyie massage/kumkanda kanda so nilikuwa naghairisha mambo mengi ikiwa ni siku ya u busy kwangu .
alikuwa analegea sana na kuchoka so hiyo ilikuwa inampa hali nzuri kidogo na kumpunguzia maumivu,ilikuwa inamtoa usongo wa mawazo juu ya maumivu yale
Maumivu yanakuwa si kawaida,
 
Asikuambie mtu,mwenyewe nateseka na hiyo hali,

Nishatumia miziz na miziz,ya masai sijui ya nani lkn wapi,

Wenyewe wanasema ukizaa vinaacha[emoji16],lkn sijui. Maana kuna,waliozaa na wanateseka.
Tuendelee kuamini hivyo kipenzi, kwamba nikizaa yatapungua maana hakuna namna
 
Ukizaaa tuu kwishaa hiyoo habariii...hata Kama itakuweepoo lkn sioo kiivyoooo..pole sanaa

Duuuh mie nikikaa na wifi yangu na alikuwa keshapata wtt watatu, yaani alikiwa anaumwa mpk hawezi hata kutembea.

Ukizaaa tuu kwishaa hiyoo habariii...hata Kama itakuweepoo lkn sioo kiivyoooo..pole sanaa
Duuh, mie nna wifi yangu nilikuwa nakaa nae na alishapata watt watatu. Lakini alikuwa akiumwa hilo tumbo mpaka naondoka sitaki hata kumuona. hata kutembea kwa shida, akitembea anainama...na lazima atapike
yaani yeye ikifika P ni shida mno
 
Jifunze kuhesabu kuanzia siku uliyoanza period mpaka siku unamaliza imechukua siku ngapi...utaweza kujua tu unachukua siku ngapi mpenz
Shida tarehe hazieleweki mara mwanzo wa mwe,mara katikati ya mwezi,mara mwisho wa mwezi, au kupiga deshi kabisa.

Najua ni siku ngapi natumia.

Inanichosha tu kubadilika.
 
Tunafahamu mnaumia na nyie ndio mnafeel the way inauma hiyo,

Poleni na tunawaombea mpate njia salama ya kupunguza/kujikinga isiyo na changamoto mbeleni

Bibi yako wa miaka hiyo/ex alikuwa anapata homa kabisa na alikuwa anapenda nimfanyie massage/kumkanda kanda so nilikuwa naghairisha mambo mengi ikiwa ni siku ya u busy kwangu .
alikuwa analegea sana na kuchoka so hiyo ilikuwa inampa hali nzuri kidogo na kumpunguzia maumivu,ilikuwa inamtoa usongo wa mawazo juu ya maumivu yale
Yaani kila kitu inakuwa unajionea shida,
 
Duuh, mie nna wifi yangu nilikuwa nakaa nae na alishapata watt watatu. Lakini alikuwa akiumwa hilo tumbo mpaka naondoka sitaki hata kumuona. hata kutembea kwa shida, akitembea anainama...na lazima atapike
yaani yeye ikifika P ni shida mno
Mimi nilikuwaa hivyoooo...nilikuwaa nikianzaa P nyumbaa nzimaa wanajuaaa ...maumivuu makali siwezi hata kutembeaa lkn nilipoolewa na kuzaa..hiyo hali ilishaaa. Japoo kwa mbali uwaa inajitokezaaa...na niliambiwaa nikizaa tu hali hiyo itaishaaa auu kupunguzaa makali...now nipo safi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom