Maumivu yanakuwa si kawaida,
Asikuambie mtu,mwenyewe nateseka na hiyo hali,Yani sijui mwisho wake lini haaa[emoji24][emoji24][emoji24]
Tuendelee kuamini hivyo kipenzi, kwamba nikizaa yatapungua maana hakuna namnaAsikuambie mtu,mwenyewe nateseka na hiyo hali,
Nishatumia miziz na miziz,ya masai sijui ya nani lkn wapi,
Wenyewe wanasema ukizaa vinaacha[emoji16],lkn sijui. Maana kuna,waliozaa na wanateseka.
Ukizaaa tuu kwishaa hiyoo habariii...hata Kama itakuweepoo lkn sioo kiivyoooo..pole sanaa
Duuuh mie nikikaa na wifi yangu na alikuwa keshapata wtt watatu, yaani alikiwa anaumwa mpk hawezi hata kutembea.
Duuh, mie nna wifi yangu nilikuwa nakaa nae na alishapata watt watatu. Lakini alikuwa akiumwa hilo tumbo mpaka naondoka sitaki hata kumuona. hata kutembea kwa shida, akitembea anainama...na lazima atapikeUkizaaa tuu kwishaa hiyoo habariii...hata Kama itakuweepoo lkn sioo kiivyoooo..pole sanaa
Napenda kukera ukiwa kwenye hiyo hali🤣Yani wewe khaa🤨😂🤭
N A K A Z I AVuta bangi
Si ushazaa lakini!Asikuambie mtu,mwenyewe nateseka na hiyo hali,
Nishatumia miziz na miziz,ya masai sijui ya nani lkn wapi,
Wenyewe wanasema ukizaa vinaacha[emoji16],lkn sijui. Maana kuna,waliozaa na wanateseka.
Shida tarehe hazieleweki mara mwanzo wa mwe,mara katikati ya mwezi,mara mwisho wa mwezi, au kupiga deshi kabisa.Jifunze kuhesabu kuanzia siku uliyoanza period mpaka siku unamaliza imechukua siku ngapi...utaweza kujua tu unachukua siku ngapi mpenz
Kuna mtu aliniambia ninywe mbichi jana usiku likapoa kidogo, nimamka asubuhi nimechemsha nimejaza chupa nakunywa hapa lakini wapi😓Chukua tangawizi mbichi,,isage then ichemshe na Maji,uwe unakunywa kabla ya kulala na asubuhi pia kunywa kikombe kimoja cha chai
Yaani kila kitu inakuwa unajionea shida,Tunafahamu mnaumia na nyie ndio mnafeel the way inauma hiyo,
Poleni na tunawaombea mpate njia salama ya kupunguza/kujikinga isiyo na changamoto mbeleni
Bibi yako wa miaka hiyo/ex alikuwa anapata homa kabisa na alikuwa anapenda nimfanyie massage/kumkanda kanda so nilikuwa naghairisha mambo mengi ikiwa ni siku ya u busy kwangu .
alikuwa analegea sana na kuchoka so hiyo ilikuwa inampa hali nzuri kidogo na kumpunguzia maumivu,ilikuwa inamtoa usongo wa mawazo juu ya maumivu yale
Nizae wapi[emoji16], bado naitwa ma mkubwa.Si ushazaa lakini!
Mimi nilikuwaa hivyoooo...nilikuwaa nikianzaa P nyumbaa nzimaa wanajuaaa ...maumivuu makali siwezi hata kutembeaa lkn nilipoolewa na kuzaa..hiyo hali ilishaaa. Japoo kwa mbali uwaa inajitokezaaa...na niliambiwaa nikizaa tu hali hiyo itaishaaa auu kupunguzaa makali...now nipo safiDuuh, mie nna wifi yangu nilikuwa nakaa nae na alishapata watt watatu. Lakini alikuwa akiumwa hilo tumbo mpaka naondoka sitaki hata kumuona. hata kutembea kwa shida, akitembea anainama...na lazima atapike
yaani yeye ikifika P ni shida mno
Alafu ww, mm nakuonaga humu na katoto nikajau umezaa!!Nizae wapi[emoji16], bado naitwa ma mkubwa.