Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

Status
Not open for further replies.
According to dk Berg maumivu makali sana wakati wa period huwa yanasababishwa na upungufu wa madini ya iodine mwilini. Jitahidi kula iodine rich foods ,tafuta supplements au tumia sea moss(mwani),sea kelp nk. Pole sana .
 
Asante kipenzi,, nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Poleni sana mnaoumwa sana… kuna miezi siumwagi hata chuchu, ila kisirani inayokuwa hapo. Shetty alaumiwe

Mefanamic ni painkiller bora kwa wakati huo.. ila binafsi siipendi, kidonge chake ni kikubwa sana.
 
You can't be serious
Bangi ni dawa nzuri ukipiga na tizi alafu unywe na tangawizi itakusaidia kuweka mfumo wako wa damu vizuri na mishipa itakua poah. Sema hapo utakusababishia nyeg* mda mwingi sasa hapo ili kumaliza tatizo inabidi uje tupate katoto kamoja, hapo utakua umemaliza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom