Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

Status
Not open for further replies.
Pole mwaya, usihau kumeza pain killers zikusahaulishe maumivu kwa muda.

Mi sijawahi kuumwa chochote japo nime struggle na hormone imbalance kwa kipindi chote.

Tatizo langu moja tu mood swings mweeh! Zamani kwa kutotambua nilikua najikuta nimeshawakiana na mtu baadae nakuja kurealize pengine nilikuza tu mambo 😅

Siku hizi niko keen kujua ni wakati gani nipo najaribu kutokudeal na watu au najikumbusha kuwa siko sawa kabla sijareact kwa kitu. (Ni kama namna ya kujikumbusha do not react tatizo ni wewe sio huyu)

Na nimeanza kupata kichomi fulani hivi before MP and during ovulation. Ni kichomi kweli kweli kinatokea mara mbili tu kwa mwezi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom