Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Im Offended To Be Honest Bro. How Can You?
Man, How?
Umeniharibia Siku Mapema Sana Aiseee!!
Aarrgghhh.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
..I said it was a MISTAKE,which Part of that word is Hard to fathom?!Ona hata Jibu lenyewe kama linafit ulichokiongea
 
Asante dadaaa monicccca
 
Hivi huyu BAGAH alifia wapi?
Nilikuwa nampenda ila katoweka kama moto nyikani, akatambaa zake.
Tutaonana tena
 
Hahahahaaa... wenye MAJINA humu JF kumbe wanazimiwa eeenh!
Au tatizo nyotaa, tuminye #
Kumbe miss chagga angekuwepo angemzimia mangi mwenziee...
[HASHTAG]#sweetmangi[/HASHTAG]
 
Mimi hata msiponizimikia... Nitabaki kuwa really gentleman tuu...
kwanza demu wangu anani zimikia kinoma tuu..
Halafu pili mie ni Engineer...
Yaan raha tuu..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
We lazima utakua mhaya
 
Pasco, huyu huwa haji huku mmu,yeye ni kule siasani tu,kiukweli navutiwa na post zake
Mkuu Mtende, asante kuvutiwa na post zangu ila huwezi jua sometimes usikute sio posti tuu ila kwa sababu posti ndio unaoziona.

Pia ni kweli humu MMU naingia mara chache ila mimi pia I'm only human hivyo nami.. huwezi jua!, nitakutumia salamu zangu in box!

Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…