juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,478
Im Offended To Be Honest Bro. How Can You?..am Right Here Baby
Man, How?
Umeniharibia Siku Mapema Sana Aiseee!!
Aarrgghhh.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Im Offended To Be Honest Bro. How Can You?..am Right Here Baby
..Meant to quote Niffa's words,its Just a slip of fingers Mkuu haina haja Ya kunitukanaNigga You Gay?. Ebu Acha Usenge ASAP
..I said it was a MISTAKE,which Part of that word is Hard to fathom?!Ona hata Jibu lenyewe kama linafit ulichokiongeaIm Offended To Be Honest Bro. How Can You?
Man, How?
Umeniharibia Siku Mapema Sana Aiseee!!
Aarrgghhh.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Cool. Understood Now...Meant to quote Niffa's words,its Just a slip of fingers Mkuu haina haja Ya kunitukana
age is just a number mama kubwaMie kuna mtu namzimika kinoma ila naona aibu kumtaja mie umri umeenda isije ikawa kitoto cha miaka 20.
Asante sana kwa kunitaja.Supermarket
Mama kubwa sema tu maana we size yangu kabisaMie kuna mtu namzimika kinoma ila naona aibu kumtaja mie umri umeenda isije ikawa kitoto cha miaka 20.
umemdaka patamu, alisema "hainizuii " badae ka change kaweka "haimzuii"...Ila ndo yeyeHongera naona una account 2 nimeshangaa. Niliyemuuliza ni tofauti na aliyenijibu.
Kila lakheri
He hee ngoja nasubiri unyoe nami nifanye maamuzi magumuNywele na matunzo yake ni utumwa.
Nitakushtua nikinyoa nikupe challenge[emoji12]
Asante dadaaa moniccccaWanawake wenzangu tuambiane kweli ya moyoni mwanaume yupi mwenye mvuto kwako wa humu jf?
Unavutiwa na nini kwake, tuwe wakweli na wa wazi.
Binfsi navutiwa sana na mapanga3, kinachonivutia ni namna anavyopost nilifanya juhudi binafsi mpaka nikabahati kumuona kiukweli ni mtu anayejielewa na mwenye msimamo sana nilijaribu kumchomekea mambo fulani kabla sijaolewa lkn akanijibu kwa upole im sorry nafasi imejaaa. Nawewe mwenzangu emu funguka.
Hivi huyu BAGAH alifia wapi?Wanawake wenzangu tuambiane kweli ya moyoni mwanaume yupi mwenye mvuto kwako wa humu jf?
Unavutiwa na nini kwake, tuwe wakweli na wa wazi.
Binfsi navutiwa sana na mapanga3, kinachonivutia ni namna anavyopost nilifanya juhudi binafsi mpaka nikabahati kumuona kiukweli ni mtu anayejielewa na mwenye msimamo sana nilijaribu kumchomekea mambo fulani kabla sijaolewa lkn akanijibu kwa upole im sorry nafasi imejaaa. Nawewe mwenzangu emu funguka.
We lazima utakua mhayaMimi hata msiponizimikia... Nitabaki kuwa really gentleman tuu...
kwanza demu wangu anani zimikia kinoma tuu..
Halafu pili mie ni Engineer...
Yaan raha tuu..
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Mkuu Mtende, asante kuvutiwa na post zangu ila huwezi jua sometimes usikute sio posti tuu ila kwa sababu posti ndio unaoziona.Pasco, huyu huwa haji huku mmu,yeye ni kule siasani tu,kiukweli navutiwa na post zake