Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Hii chain ni hatari,alafu wengi ni wake za watu.wangejua waume zenu,talaka zingekuwa nje nje
 
Yaaan humu kuna Mada zingine Za ajabu ajabu kila cku Mada znajirudia Tu ubunifu f[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Vyura wa Dsm bana...maji ni machache wanaogelea nchi kavu....karibuni chugga .....dushelele hadi kucheleee....papuchi....hadi inapiga salute...
 
bwanae, mimi hapa dume linarovitia hapa jf sifileo.
 
Tena hapo kwenye mtoko ndo mtihani.... Mi siku nyingine hua naahirisha church kisa nywele.... Au mjini kama zimefumuka napata uvivu kutoka kwakweli. Ngoja tu nitaja nyoa tu
Nyoeni wapenzi hamtajuta yaan mm nilinyoa nywele zangu ndefu tu za dawa nikaanza upya tudogo sasa hivi na nywele natural nikijiskia natengeneza rafu mpk raha nikijiskia kusuka nasuka nyoeni
 
Nyoeni wapenzi hamtajuta yaan mm nilinyoa nywele zangu ndefu tu za dawa nikaanza upya tudogo sasa hivi na nywele natural nikijiskia natengeneza rafu mpk raha nikijiskia kusuka nasuka nyoeni
Waambie wanyoe na Ile misitu ya chini mkuu
 
Nyoeni wapenzi hamtajuta yaan mm nilinyoa nywele zangu ndefu tu za dawa nikaanza upya tudogo sasa hivi na nywele natural nikijiskia natengeneza rafu mpk raha nikijiskia kusuka nasuka nyoeni
Nitanyoa nifuge dread asee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…