Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

KWa nini unapikea vitu vyake? Hakuna cha bure... Kakununulia draya na wewe chunguza anafanya biashara gani ili umnunulie vifaa na yeye iwe ngoma droo... Ila yote KWa yote maamuzi ni YAKO...
 
We shunie wewe..!!! Mamdogo Amehlo embu njoo usome alichokiandika Shunie...!!
CC Bantu Lady na shemela Evelyn Salt
Itakayosex ni umri au mkuyenge wa kijana? Bibi wee kama kakupenda, umempenda, anzisheni mauhusiano. Kapimeni maisha yaendelee. Umri usiwe kikwazo, kuna vijana wana akili kama za watu wazima. Na kuna watu wazima wana akili za kitoto, sasa fata mambo ya umri uyavagae.

Inaonyesha umeshafall in love, kijana anatoa sabuni ya roho. Hapo roho nyeupe. Kwanza nikwambie ukichanganya damu na kijana, utazidi kuonekana nawewe binti wa 20's.
Wee Ngalikihinja umejishaua kuniuliza, wakati jibu unajua nitakalotoa 😏😏😏
 
Kuna mishangazi mingi kwa huu uzi tafuta moja ukajipumzikie mie sitaki hata mazoea na wadogo zangu
Sina tabia hiyo sio kawaida yangu Kupumzika na mishangazi hiyo ilikua ni jaribio la msimamo wako. Mimi kaka yako ujue
 
Mimi ni mshauri wa kimataifa wa mahusiano mwenye ujuzi wa miaka 20. Hebu weka hapa picha yako full pamoja na chura ili tukupe ushauri usio na chembe yoyote ya shaka.
Ukiona kuweka picha yako hapa si sahihi tafadhali njoo inbox.
 
Mtoa mada Crala kidoti hakuwa anajua jibu hili..!!! Kwahiyo unamshauri akambemende mtoto wa watu..!!?? Kwani wewe kuna unayembemenda??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…