Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Kama kweli ulitaka ushauri kuchukua huu hapa. Labda uliwe tu kutuliza nyege ila hapao hakuna mapenzi
Unapotosha midabwada bhana!
Wewe tafsiri ya mapenzi kwako ni nini?
Labda tuanzie hapo kwanza, maana hajazungumzia kuolewa ujue!
 

Financier decide, kama mwanaume anakaa mwanamke anatoa hela zote ni sawa, kuna wanaume goi goi, ila Mwanaume Mtafuta hela, asione vijana wenzie warembo wenye 23 years, sio duniani, labda Mars
 
Ukiachilia mbali tofauti uliopo kwenye umri je

1. Moyo wako unasemaje juu yake?

2. Upeo wake juu ya kuchanganua mambo/changamoto ukoje?

3. Kiwango chake cha busara/hekima kwa muono wako kinaridhisha?

Age is just a number.....

Wapo wazee watu wazima ila tabia zao hazijitoshekezi
Na wapo vijana wadogo ila akili na ustaarabu wao ni vya kiutu uzima


Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
clara kidoti

Kwa maelezo yako tu unaonyesha ushampenda na umevutiwa na vimisaada vyake unavyovipata kwake..maamuzi yako kwako (kuamua kutembea na mtoto wa Dada ako au kuamua Kuulinda Utu wako)🧕🏻

Nakushauri:-

Dont dare..Jithamini..Jijali..Jilinde na Jiheshimu mbali na hapo utadhalilika na kujiingiza kwenye msongo wa mawazo unaoweza kuuepuka..weka nguvu yako na mapenz yako kwa Wanao toa mawazo ya mahusiano

Mahusiano yako na mapenz yako ni Watoto wako💚
 
Mjinga tu, wakati anapewa alikua anapokea tu. Amnyime atwangwe risasi
 
Atakusumbua huyo utakuja tena kutuomba ushauri japo wajomba zake pia wasumbufu ila hutu tutoto ni shiida
 
Atakusumbua huyo utakuja tena kutuomba ushauri japo wajomba zake pia wasumbufu ila hutu tutoto ni shiida
 
We mzee baba umeingiaje hapa harafu unazidi kumpoteza dada wa watu ishu ya utelezi sio ndogo mkuu!!?
 
We unaonaona kuna mpotezeaji hapa?
hakiii wakati anaandika hii post mapajani hakukua salama!
Hahahaha anajifanya the boss lady sio😂😂 asisahau mrejesho tu tujue lipi ni lipi,, na matokeo yake

Halafu itabidi waombe ushauri wote wawe wanaleta mirejesho ya shauri zetu au unaonaje snow?
 
Hahahaha anajifanya the boss lady sio😂😂 asisahau mrejesho tu tujue lipi ni lipi,, na matokeo yake

Halafu itabidi waombe ushauri wote wawe wanaleta mirejesho ya shauri zetu au unaonaje snow?
ila kweli.

Ujue tunatumia akili nying sana na hawatulipi mbwa hawa(in Warumi's voice, rest in peace mbea mwenzetu, mbwa alitukomesha ka kufa yule! dah!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…