Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Sasa wanawake wenzangu naombeni ushauri kwa hili mimi ninaishi tuu na watoto wangu na ninajishughulisha na salon ya kike ni kibwa sana, pia nauza na vinywaji kama soda na juice.

Wanawake wenzangu naombe ushairi mimi mama nina 39 japo ndio nina mvuto na ni mweupe kiasi na shape yangu na sauti yangu hii. Nimeshidwa kumkatalia wala kumjibu vibaya.
Hakuna mahali uliposema kama una Akili. I hope unazo
 
Masela wengi tu wanakula mama watu wazima A.K.A mashangazi! Trust me ukimwekea msela hapo kabinti ka under 30 na lishangazi hapo alafu mwambie msela chagua 99.9% msela ataenda kwa lishangazi sijui huwa kuna nini wana mvuto fulani hivi..🤣kwahiyo usiogope
 
Hapo utake usitake lazima umvulie chupi... Unataka ushauri gani mwanamke mtu mzima, miaka michache ijayo unaingia menopause..? Mpe dogo utelezi sikuhiz ni mambo ya kawaida tu hayo... Kikubwa cha kukushauri usimuweke moyoni sana, ili baada ya kukumega ikatokea amekudampo usiumie moyo... Kuna wanawake huku nimeona wanakuambia achana naye, usiwasikilize maana wao wenyew wanaliwa hadi na wavulana wa Certificate...
 
Hapa kinachokunyima ujasiri kukataa ni misaada, yaani uuzaji na ununuzi kwa akili sanaa😂
 
Umri ni namba Tu, umri sio busara...ndo hivo marehemu hasemwi vibaya Ila ningekusimulia mtu flani aliyekuwa na umri mkubwa lakini matendo ya hovyo🤣🤣
Wewe ndo unamjua huyo jamaa, wanawake tumejaaliwa jicho la kuona mbali, mpime, muangalie Kwa Hilo jicho....Kama anafaa nenda kampe yote🤸🏿‍♀️🤣
 
Hili nalo mkalitazame🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…