Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

UPDATE
Asante wote mlionipa ushauri ila nimeongea na Cvez pm amenipa ushauri mzuri na nimeamua kufanya hivyo.
Asante wote.

Ila Asante sana Cvez
Tumenishauri vizuri.
Kapeace
Kashaamua ndo anaenda kupeleka maana huna hasila balaa.
Mbona mimi nipo rwanda huku nipo na mama mmoja wa kitusi ni pm nikuonyeshe chatting zetu na ninji aliavyo mrembo.
Kanizidi miaka kama 9 hivi.
Ni mrembo balaaa.
 
Ni mimi tuu au hata wengine hicho kipande cha mapacha wa kiume wanafanana baba yao hamjakielewa? Back to the topic. Sitochangia chochote maana swali limeelekezwa kwa wanawake. Lakini mleta mada ungeusikiliza moyo wako.
Kama inakanganya hivi eeee?
Nimeparudia sijapaelewa vzr...

Na stories za mapacha sjaelewa zimekujaje
Mara mtoto wa kwanza kaka yao[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
39 years you are too grown to be dating a 28 years younger to you.

39 is a retreat phase kwa mwanamke huo sio muda wa kuanza kukimbizana na mapenzi bali familia na ndoa.

So usiingie hapo. Just kaa nae chini umwambie exactly that kuwa sio fair wewe na yeye kuwa partners.
Sio fair wapi hebu acheni hizo banaaa,
Crala kidoti usiwasikilize hawa dear, kwanza umri ni namba tu, kikubwa wote tumeshapendana hakuna sababu ya kunyimana mpenzi.
Vipi watoto wetu hawajambo?
 
Tunaomba mrejesho wa kitakachojiri kwa baharia mwenzetu[emoji4][emoji4]
Kikubwa mpe mbususu jaman....
Si upo single sasa hvi
 
Kapeace
Kashaamua ndo anaenda kupeleka maana huna hasila balaa.
Mbona mimi nipo rwanda huku nipo na mama mmoja wa kitusi ni pm nikuonyeshe chatting zetu na ninji aliavyo mrembo.
Kanizidi miaka kama 9 hivi.
Ni mrembo balaaa.
Tena wewe una na huna hasila na hasira hujui kuzitofautisha hata kupiga mashine hujui itakuwa, siwezi jisumbua hata kuja pm
 
Wewe mwanamke huyo kijana ni wangu si gari yake ni Premio namba D?

Usimbemende kijana wangu tafadhali.
Yaani ndio maana hana maendeleo binafsi pesa zote anamalizia kwako?

Ulishampa "tunda" hapa unataka kuhalalisha tu.
 
Kuna Mmama mmoja ana saluni kubwa ndio saluni yangu pendwa, aliolewa na Mzee mtu mzima akamtesa na kumnyanyasa licha ya kua na watoto watatu pamoja hatimae wakatengana ndio huyo mama akafungua kisaluni kidogo enzi hizo walau apate pesa ya kula na wanae, alikua anauza na vinywaji baridi kuna kijana age hiyo hiyo 20 something ana gari Suzuki akawa anakuja pale kununua soda au maji hatimae akamtongoza Mama akawa anaona noma kijana mdogo yeye shangazi, tukamwambia umri ni namba tu jali furaha yako,

Yule kijana kambadilishia saluni ikawa kubwa na vitu vya kisasa, akamchukulia frem nyingine kamuwekea vinywaji baridi, wanapendana hadi mabinti wanaona wivu maana sio kwa mahaba ndindindi yale, she is the happiest woman in the World.

Good luck Crala.
 
Kama inakanganya hivi eeee?
Nimeparudia sijapaelewa vzr...

Na stories za mapacha sjaelewa zimekujaje
Mara mtoto wa kwanza kaka yao[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Alimaanisha kuwa
Baada ya mume wake kufaliki walikuja watoto wawili wakiume mapacha kwenye msimba wa mume wake ambao wamefanana na mume wake na wanalingana umri mmoja na mtoto wake wa kwanza.
Its means mume wake alichepuka na kwenda kuzaa nje ya ndoa alijua msibani.
 
Back
Top Bottom