Wanawake wenzangu njooni tuzungumze kidogo

Ni kukosa tu ufahamu wa namna mwili wa mwanadamu unafanya kazi vipi na unatakiwa kufanya nini.

Mood swings sio sababu ya ku misbehave na kumkosea adabu mwanaume wako hayo ni matumizi mabaya ya fursa.

Wanaume pia wanamood swigs wakiamua kujiachia hakuna ndoa itakalika.

Kuongea pia ni sehemu tu ya poor home training. Hakuna sehemu walishaelekeza kuwa mwanamke kuropoka bila stara ni sawa.

Mwa
Asilimia mia
Unafeli sasa .
 
Kabisa dear watu wanalia kilasiku
Ndoa zimekuwa ngumu wanawake 5 kati ya ninsowajua wanne wanajutia kuolewa hali ni mbaya sana

Lkn mwisho ya yote familia itabaki kuwa familia tu Ina umuhimu wake pia japo sio kitu Cha kukimbilia
Kama wanajutia watoke nje wapambane au?
 
Kuongeasana sijamaanisha kumisbehave nafikiri hatujaelewana
 
Hivi kumbe nilikuwa mpk tagged 😻
Umeongea ukweli mtupu Tee, hakuna kitu kinaumiza km kujifanya mashine ya kufatulia vitoto vya kataa ndoa..!! (Wanaume wapuuzi kuwahi kutokea) 😹

Mimi kwakweli bado nipo nipo sana, nitazaa nikijiona nahitaji kupata mtoto na mtu sahihi na sio kina kasongo 😹🤣🤣
 
Kitu sitakuja kujaribu kuwa na mahusiano na vimarioo, sivipendi jamani vijitu vipo km manunu..!! 😹
 
Kuna rafikiyngu kanipigia juz anawatoti 3 na ndoa 3 zoote Chali anavotoa ushauri 😂😂😂nikasema huyu ndo kasongo mbona weo😂😂😂
 
Kuna watu ni wanafiki sana humu, kila leo tunaona nyuzi za matusi kwa wanawake waliozalishwa kabla ya ndoa ajabu leo mtu anatoa angalizo na kukumbushana tusizae kabla ya ndoa bado anapopolewa, jf na maajabu yake ndio kama hivi.
 
Dawa yako ni Trump. Feminism itakufa tu
 
For sure,
 
Take your time Momy, kila siku tunasoma nyuzi za "kataa ndoa ni utumwa"
Ila hao hao akina kasongo, unawakuta kwenye nyuzi za wanawake wanatema mapovu 🚮 🚮
 
Mkuu kwa hiyo unataka Ndoa zao ziwavuruge na kujifariji wasijifariji yaani wapigwe then wasilie au sio?😄
 
Adui ya mwanamke ni mwanamke

Epuka sana ushauri wa mwanamke unmarried au aliyeachika, 30+ wengi ni feminists

Furaha yao ni kuona wanawake wengine au mabinti wanaharibikiwa

Wewe haujakutwa bikira inamaanisha ni malaya halafu unataka mwanaume eti mwenye maadili

Ndoa nyingi zinaharibika kwa sababu ya wanawake.

Hakuna mwanaume duniani aliyefanikiwa kumfanya malaya kuwa mke
 
Mtaani huku wenzako wanasema kikubwa kavaa shela na kupigiwa tarumbetahata kama ndoa itakufa kesho yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…