Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri


Nitaacha upopo ss hivi!! Yote hii ni huyu Kantri ndo anafanya niwe popo.
Mtafutieni mke wake, aache kunisumbua
Masaa yashapinduka huko, usiku mchana mchana usikuπŸ˜‚
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitaacha upopo ss hivi!! Yote hii ni huyu Kantri ndo anafanya niwe popo.
Mtafutieni mke wake, aache kunisumbua [emoji1787]
 
Mbali na tanzania ni nchi gani ulishawahi zitembalea na kusini mwa Africa..

Tatizo siii kwamba hawana sauti nzuri? Waambie hao wakina dada wakiongea na wewe waongee English halafu uje utupe marejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…