Wanawake weusi chukueni miaka 5 tena,mna mwonekano mzuri na wakizalendo, hamjajichubua

Mimi huwa nikiona mtu aliye jichubuwa huwa najuwa moja kwa moja kuwa ni mgojwa wa akili . Pia nikiona mwanamke anaye van wig huwa najuwa hajiamini wala hajipendi.
Z
 
Mwanamke unakuaje mweusi kama ulitaka kuwa Mandonga mtu kazi si ungesema

Yaani unauliza chocolate ilianzaje kuwa nyeus ???
Kiongozi unamatqtizo kwenye ku taste radhq eti ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…