Wanawake weusi chukueni miaka 5 tena,mna mwonekano mzuri na wakizalendo, hamjajichubua

Wenye mawazo kama yako wengi 'wameliwa' na 'kulizwa' sana na huo muonekano wa weusi wa nje.

Malaya wanaenda na soko la wateja ujue!

Sasa hivi vijora havivaliwi, mkorogo haupakwi na nywele za gharama hazisukwi!

Wananyoa na kupaka lotion pamoja na mafuta ya Vaselline!

Mavazi ni magauni ya vitambaa au vitenge ili wewe uhadaike uone ni 'wautulie' katoka labda mikoani ndani ndani huko.

Ndiyo mahitaji ya soko la wateja lilivyo hivi sasa.

Unaposifia jambo usisifie hadi kukufuru, unatakiwa kuuma huku ukipulizia.
 
Huyu dada kavuruga sana akili yangu
 
shukrani sana mkuu..
nimewahiwa tayari..!

Basi kwavile mimi na wewe ni washkaji huku jf, heb niazime buku,
Kisha hiyo buku nunulie huyo jama mirinda, m0e na mwambie sisi ( yani mimi na wewe) tunampongeza kwa kuwa na mke mzuri kama wewe mwenye haiba nzuri, imani, tabia na mwenendo mwema pia.
 
Uuuuuweeeeeee .
Yaaan. Jamani.
 
Basi kwavile mimi na wewe ni washkaji huku jf, heb niazime buku,
Kisha hiyo buku nunulie huyo jama mirinda, m0e na mwambie sisi ( yani mimi na wewe) tunampongeza kwa kuwa na mke mzuri kama wewe mwenye haiba nzuri, imani, tabia na mwenendo mwema pia.
ahsante kwa kunipamba hivi mkuu..
buku tu umepata.!
 


Sawa. Ila waleteeeee, Waleteeeee,
Waleteeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.


Nasemajeeeeee. ?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…