Wanawake weusi tar 28 October tuna jambo letu

Tukutane hapa tupange mikakati...tusifanye makosa
Nasikia hata weupe pia pamoja kuwamwagia sifa kem kem na wao wanataka kumpiga chini nanihii. Siku ya kufa tumbili.......[emoji12]
Hoja au kioja? Sina shaka kauli zake sasa ni dhahiri zimetimiza lengo lake la kumwondoa mmoja wa wagombea Urais, kwenye reli ya kuingia Ikulu.

Yeye na wafuasi wake kwenye mitandao ya kijamii wanakazana kupekechua vioja tu wakiamini ni mtaji wa kisiasa. Yaani hata misemo na vibwagizo vya utani kwenye kampeni vinachukuliwa na kushupaliwa! Huo ni ulimbukeni na ujuha wa hali ya juu.

Amini msiamini kitachotokea tarehe 28/10/2020 hamtokisahau maishani. Kuna maisha baada ya uchaguzi.
 
Anatania?!Kwani alishindwa kufanya utani unaojenga nchi?Kwa nini huwa anafanya utani wenye viashiria vya ukabila,ukanda,ubaguzi,unyanyasaji wa kijinsia,kugawa watu,udini,e.t.c.Kwa nini asifanye utani wenye viashiria vya kujenga amani,uhuru,haki,usawa,maendeleo,etc?
 
Mkuu
Jitahidi Tupate Kengele Tumfunge Huyu Anayesema Maneno Ya Kuudhi Majukwaani
Yaani Mpaka Sasa Anavunja Unyumba Wa Watu, Weusi Siyo Dhambi
Amesahau Kuwa Kuna Msemo Wa Wahenga Usemao
"Uzuri Wa Mtu Hupewa Na Mungu, Lakini Utanashati Ni Sanaa "
Wizara Ya Wanawake Jinsia Na Watoto Iko Wapi?
 
Anatania?!Kwani alishindwa kufanya utani unaojenga nchi?Kwa nini huwa anafanya utani wenye viashiria vya ukabila,ukanda,ubaguzi,unyanyasaji wa kijinsia,kugawa watu,udini,e.t.c.Kwa nini asifanye utani wenye viashiria vya kujenga amani,uhuru,haki,usawa,maendeleo,etc?
Kwa kuwa unawaza ndani ya kisanduku huwezi kuona, kusikia na kukubali ukweli.

Katika yote anayoyaongea na kuthubutu kuyatenda, wewe umeona hayo ndiyo ya msingi? Je, ya hovyo kabisa yanayotamkwa kutendwa hadharani na viongozi unaoshabikia, kwako ni sawa?

Km kiongozi anayegombea nafasi ya juu sana kitaifa anahasisha watu kuingia barabarani kwa hisia tu kaibiwa kura, ni SAWASAWA? Kiongozi anayedharilisha viongozi wateule wa Serikali kuwa huokotwa jalalani, ana sifa za kuongoza Taifa? Au kiongozi huyo huyo asiyeheshimu mamlaka (vyombo vya Dola atavyofanya navyo kazi akichaguliwa), ataheshimu atakaowateua? Hizo siyo dalili za kiongozi jeuri, mwenye majivuno na katili kuliko kiongozi wa aina hiyo aliyewahi kutokea dunia hii?

Wahenga walinena Panapofuka moshi pana moto au Dalili za mvua ni mawingu.
 
Magufuli ni Rais wa nchi.Magufuli siyo raia wa kawaida.Kila analofanya na kuongea linafuatiliwa dunia nzima na watu tofauti tofauti pamoja na mashirika tofauti tofauti na kutafsiriwa tofauti tofauti kwa namna yake yenye athari kwa nchi ya Tanzania.Kila analofanya na kuongea linawakilisha watanzania.

Utani wa Rais unatakiwa kuwa tofauti na utani wa mtu wa kawaida.Utani wa Rais unatakiwa kuwa na vimelea vya kujenga zaidi Taifa na siyo vimelea vya kubomoa Taifa na ubaguzi.Magufuli pamoja na ninyi watu wake hamuyajui yote hayo.Magufuli hajui yote hayo kwa sababu ni country bumpkin.

Suala na kuingia barabarani siyo suala la ajabu kwa sababu unajua,watu wanajua,ninajua na kila mtu anajua kuwa tume ya Taifa ya uchaguzi pamoja na vyombo vya dola haviko tayari kutenda haki katika uchaguzi huu.Walichosema chadema ni kwamba kwa kuwa vyombo hivyo vya uchaguzi vinaibeba CCM waziwazi kama ikitokea haki isipotendeka wataingia barabarani kudai haki yao.

Sasa hapo la ajabu ni lipi?Kama Magufuli ameweka mihimili yote mfukoni kwake ikiwa ni pamoja na mahakama unataka chadema watumie njia ipi kudai haki yao kama watadhulumiwa?
 
Mtu mwenye mawazo kama hayo ana uhalali gani wa kulaumu kauli za utani?
Mimi ni raia wa kawaida.Magufuli siyo raia wa kawaida.Magufuli ni Rais wa nchi.Kila analofanya na kuongea linafuatiliwa dunia nzima na watu tofauti tofauti pamoja na mashirika tofauti tofauti na kutafsiriwa tofauti tofauti kwa namna yake yenye athari kwa nchi yetu ya Tanzania.Kila analofanya na kuongea linawakilisha watanzania.

Utani wa Rais unatakiwa kuwa tofauti na utani wa mtu wa kawaida.Utani wa Rais unatakiwa kuwa na vimelea vya kujenga nchi zaidi na siyo vimelea vya kubomoa nchi na ubaguzi.Magufuli pamoja na ninyi watu wake hamuyajui yote hayo.Magufuli hajui yote hayo kwa sababu ni country bumpkin.
 
Back
Top Bottom