Wanawake wote ndivyo mlivyo hata mkikataa. Wanaume kuweni makini katika maamuzi yenu

Mimi mtazamo wangu ni kukaa na mwanagu ili nimuonye pindi akitaka kuharibika.

Kuhusu mama yake wa kambo ni kujitahidi kuwa karibu wa wanao, kila kitu kitakuwa okey.

Sent using Jamii Forums mobile app
very true ubaya ni kwamba wanaume wengi wana muda mchache sana wa kukaa na watoto wao,hivho mtoto hata kama yupo mazingira mabay na mama yake inachukua muda kutambua,
pia ukaribu wa baba na mwana unaweza kupunguza matatizo baina ya mama na mtoto.
 
wanaume hawana cha kufanya?
unafahamu watoto wa kike wanavyokuwa abused na baba zao wa kambo?
nna mifano mingi ya wababa kubaka amakuwataka kimapenzi watoto wao wa kambo..
 
Chuki kwa mtoto wa kambo Baba ipo moyoni

Chuki kwa mtoto wa kambo Mama ipo kwenye matendo

Baba atamchukia mtoto wa mwanaume mwingine kmoyo moyo

Mama atamchukia mtoto wa mwamke mwingine kwa matendo..

Heri akuchukiae moyoni kuliko akuchukiae kwa matendo asee huyu wa matendo Acha kbsa

ila wa moyoni anaweza kaa na wewe mkacheka mkafanya kila kitu ila moyoni mwake anakuchukia mno.
 
wanaume hawana cha kufanya?
unafahamu watoto wa kike wanavyokuwa abused na baba zao wa kambo?
nna mifano mingi ya wababa kubaka amakuwataka kimapenzi watoto wao wa kambo..
wababa wanaobaka watoto wa kambo VS wamama wanaotesa watoto wa kambo

ebu Tupe takwimu zako zinasema upande upi una idadi kubwa?
 
Wengine wanaonyesha kwa matendo ndugu
 
Naanzaje kumtesa mtoto wa mke wangu mbele ya mke wangu,Hivi najipenda au sijipendi?Usiku ntakaponyimwa tamu tamu atanisaidia nani kunipa hyo Tamu? mke aninunie kisa nmemdunda mwanae

nani wakunipa tamu yangu? au ndio nijitafutie kurudi kwenye PULI bila mimi kupenda?Ki ufupi na kiurefu hamna mwanaume wakuweza mtesa mtoto wa mkewe kirahisi,hivi mnajua ugumu wa kulala na mwanamke halafu hakupi tamu? yani unaiangalia kama unaangalia TV kumgusa huwezi wala nini?

Tena akilala usifkir atalala kava overrol atavaa night dress kama kawaida shuka mtajifunika moja,halafu mguse sasa uone what next! nasema hiviiii wanaume hatuwezi wala hatuna ubavu mtesa mtoto wa mke kbsaaaa,labda huyo mwanaume awe hampendi mke wake so anaamua mtesa mama + mtoto.

ila kama mama anapendwa na baba asee mimi kumtesa huyo mtoto ngumu,kwanza ntasemaje nakupenda kama simpendi mwanao,hapo kwa mwanao ndio wanaume tunajitafutia point za ushindi maana tuzo zetu tunapewagwa USIKU bed.
 
Wengine wanaonyesha kwa matendo ndugu
umeshaona wanaume wangapi waliowachoma moto watoto zao wa kambo?

umeshaona wanawake wangapi wamewachoma MOTO na kuwashndsha njaa watoto wa kambo?
 
wababa wanaobaka watoto wa kambo VS wamama wanaotesa watoto wa kambo

ebu Tupe takwimu zako zinasema upande upi una idadi kubwa?
huu ni ushindan wa jinsia na si kutafuta suluhu ya single parent children
fika ofisi za ustawi za eneo ulilopo utazipata,
 
wanaume hawana cha kufanya?
unafahamu watoto wa kike wanavyokuwa abused na baba zao wa kambo?
nna mifano mingi ya wababa kubaka amakuwataka kimapenzi watoto wao wa kambo..

Ni mara chache mno, ukilinganisha na mama wa kambo... kuhusu ubakaji haina uhusiano wa moja kwa moja na ‘ukambo’.
 
umeshaona wanaume wangapi waliowachoma moto watoto zao wa kambo?

umeshaona wanawake wangapi wamewachoma MOTO na kuwashndsha njaa watoto wa kambo?
Nimeona wanaume wakiua, na kubaka haya ya moto cha mtoto. Nimeona pia wakibagua kwenye shule za kuwasomesha na matumizi. Matendo ya wanaume yanafanyika sirini ambayo ni mabaya sana kwa wahusika since ina affect them psychologically ila kwa wanawake matendo yao ni physically ndio maana wanalaumiwa sana. Katika maisha huwa nashangaaga sana mwanammke anayekubali kuolewa na mwanaume mwingine na anabeba watoto aliozaa awali heri uwaache kwa ndugu zako
 
huu ni ushindan wa jinsia na si kutafuta suluhu ya single parent children
fika ofisi za ustawi za eneo ulilopo utazipata,
sawa ila sishindani,ninapouliza swali haina maana nashndana

huko ustawi napafahamu ila siwezi kwenda uliza swali la namna hii.
 
Ni mara chache mno, ukilinganisha na mama wa kambo... kuhusu ubakaji haina uhusiano wa moja kwa moja na ‘ukambo’.
Muulize hajawahi kusikia baba mzazi kabaka mtoto wake wa kumzaa?,achilia mbali huyo anaesingizia wa kambo.

kubaka haina uhusiano na u kambo hiyo ni mihemko tu ya mtu binafsi,yani eti unabaka kisa sio mtoto wako? haipo

ila inawezekana mwanamke akajiskia tu kukutemea mate kisa tu wewe sio mtoto wake,yani kajiskia tu.
 
really?
aisee kwa heri.

Point yangu ni kwamba kubakwa watoto wengi tu wanabakwa na hata ndugu zao au hata na wasiojulikana, baba wa kambo kumtamani mtoto wa mkewe ipo na hata kwa kumshawishi ikiwa ni mkubwa.... ila mke makini ni rahisi kudhibiti hali hizo mbele ya mumewe hasa kwa mwanae mdogo.
 
Sina mtoto bado ila huu ni ikwel mtupu. Nimekukubal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…