Wanawake wote ndivyo mlivyo hata mkikataa. Wanaume kuweni makini katika maamuzi yenu

Unamwogopa mwanamke unayeishi naye ndani, unamwamini mwanamme mwingine aliyemuoa huyo ex akulelee mwanao nawe unakenua kwa amani kabisa.... huwezi kuwa sawa kichwani kuna namna dishi limecheza tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yes, umemalizia vizuri kumbe wapo wanawake wanaoweza
wapo ila ndio katika idadi ya wanawake LAKI 5 utampata m 1

Hao wapo kwenye kila eneo dunia hiiii,nawaitaga (made from Heaven)
 
Maandishi yanasema muoe Mwanamke wa ujana wako.
mwanamke wa ujana wangu anaweza kuwa si yule mama mtoto wangu

akawa ni huyu nilie nae sasa hivi.

Yule mama mtoto wa kwanza wengine Tuliwapa mimba kwa sababu zilizo nnje ya uwezo ila

Haikua planned mission ndio mana sijamuoa ila haina maana nisimtunze mtoto et kisa hatukupanga.

Hapa pa kuoa tusi weke kabisa maandiko mkuu maana dunia ya leo kizungu zungu.
 
Hapo ni kweli kabisa. Mimi mke wangu aliniambia kabisa bila kupindisha kwamba nisijaribu kumletea mtoto asie wa tumbo lake, hatokubali kumlea.
 
umri huo ni ule umri unaoweza amua wewe kama baba ukasema

naenda kumpangia mwanangu Chumba aishi mwenyewe.

Ukiona unaweza na umeona mwanao anaweza jitegemea na kusimama mwenyewe

na wewe huku ukalala na usingizi ukaupata (basi huo ndio umri sahihi)

ila kama bado huwezi muacha mwanao peke ake akajitegemea (kama wanafunzi wa chuo)

bado huyo mtoto wako anahitaji kuwekwa karibu na MAMA yake alieyemzaaa;.
 
Ni mama tofauti mkuu, kazi kweli kweli.... nitaongea na Zurie
Zurie kashasema asilazimishwe kupenda mtoto wa mtu

so ukimpata zurie usimlazimishe wapenda watoto wako na usimnunie

maana kashasema ukweli wake tokea moyoni (kwanza sidhani kama anaweza)
 
usikubali wala usimsikilize mkeo

anasema umlete nyumbani "hiyo kauli naziitaga kauli imarisha penzi"

Hamaanishi so usije jaribu maana ukimleta leo tu utaona kitachotokea after one month

Muache mtoto kwa bibi yake yupo salama mara 100 mkuuuu tena salama mnooooo.

Make sure unamuhudumia ipasavyoooooo.
 
Hapo ni kweli kabisa. Mimi mke wangu aliniambia kabisa bila kupindisha kwamba nisijaribu kumletea mtoto asie wa tumbo lake, hatokubali kumlea.
Mpende mkeo sana

ni wanawake wachache sana wenye uthubutu wa kuwambia hivyo waume zao

wengi ni wanafki na watesi.

You have the right Choice man.
 
100% mwanaume mwingine ana uwezo wa kumpenda mwanao kama vile ni wake

ila hamna mwanamke wa kumpenda mtoto wa mwanamke mwingine (tena aliezalishwa na mume wake)

kama wake aliyemzaa.

Uwezo huo wanao wanaume TU.
Kweli kabisa mkuu . Its the unspoken truth
 
Je vip kama ume zaa na ex wako alafu yeye nae hakai na mtoto Bali ame mpeleka kijijin kwao huko Ana kaa na bibi yake afu yeye a napambana na maisha ya mume wake Mpya

Je na hapa napo uendeelee kutuma pesa kijijin kwa wazaz wa ex wako wakulele au vip?

Mana Kuna wakati sio tuu kuwa na msimamo yenye kuangalia mzingira ya Aina moja pasi Kujua Hali ya upande mwingine

Je vip wale wanawake wanasema wenyewe njoo mchukue mtoto wako mana wapo wanaume wengine hawakubali kulea mtoto WA mtu kama baba yake yupo mjin na anauwezo anamuona hawez kubali hii ime kaaje Nisaidie majibu
 
Zote ni risk sababu huyo mtoto pia yupo kwa baba wa kambo what if baba wa kambo kamfanya mke anamkula mkewe akiwa hayupo au kama wa kiume anaweza kuwa anamuingilia mlango wa uani yani anamlawiti.
Solution ni kuacha kuzaa zaa hovyo kama paka kuwepo na familia ya baba, mama na watoto haikuwa kwa bahati mbaya.
Kuna mdada nilikua nadate nae alinichana kabisa yani kama una mtoto niambie tuachane mapema sitaki dhambi maana haitakaa nimpende nikamwambia sina.
 

MTOTO SI WAKO BWANA ok iko hivi

ex wako hakai na mtoto kampeleka kwao huko kwa bibi(mama wa ex wako)

kwanza utambue wewe hujui familia ya ex wako yani (mama ake na ndugu zake huko wanaishije na wakoje)

kwa kua kashadhihirisha hawezi kaa na mtoto basi Tumia fursa hiyo kwenda kumchukua mwanao kisha mpeleke

kwa Bibi ake (mama yako wewe) kisha mtunze mwanao akiwa kwenye sehemu uliyo na uhakika nayo.

Mwanamke akikuruhusu ukamfate mwanao na unajijua umeshaoa USIKATAE mkimbilie mfate mtoto wako then

Fanya kile kile nilichokwambia hapo juuuu (mpeleke kwa bibi ake "mama ako wewe")
 
Inahitaji tafakuri si kila mara ni sahihi kufanya hivi. Kuna mijimama mingine haijielewi bora tu kumchukua mtoto akawa chini ya himaya yako
 
Haimaanishi mtoto akilelewa na mwanaume mwingine kisa yuko na mama ake ndio na wewe ubweteke usifatilie

maendeleo ya mtoto wako,wakati mwingine wanawake wanawekwa kwapani kama jinsi nao wanavyotuwekaga kwapani

la muhimu mchunguze mwanao mfatilie mwanao,siku moja moja unazoenda kumuona "ongea nae mchimbe" utajua yasirini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…