Wanawake wote ndivyo mlivyo hata mkikataa. Wanaume kuweni makini katika maamuzi yenu

Wanawake wote ndivyo mlivyo hata mkikataa. Wanaume kuweni makini katika maamuzi yenu

Haya
tunawapondaga wao mkuuuu ila si watoto

hata siku moja hatunaga ugomvi na watoto

sisi ugomvi wetu ni kwamba single mother wanamtindo wa kupasha viporo

na wanaume walio zaa nao ndio mana tunawapiga sana vita.

ila linapokuja swala la mtoto Huwa tunakuaga wengine kabisa.
 
Something which makes the topic on the table null and void
mkuuu hapa tunajadili na haina maana ninachokiandika ndio kiwe sheria

mawazo yangu si sheria kwa mtu yeyote yule unahaki ya kuyakubali na kuyapinga pia

hivi vitu hatuongelei kwenye situation za wazazi kufariki,mada kama hizi tunapo discuss huwa

tuna assume wazazi wote wapo na hamna kipingamizi cha aina yeyote ile.

ingekua tunaongelea mapungufu mwingine angeweza kusema:

Mimi mbona mke wangu ni kipofu na ni kilema,atamtesaje mtoto wa mwingine?

so tunajua kuna vitu kama hivyo ulivyosema ila mara nyingi tunapo jadili mada za hivi

ondoa mawazo ya Kifo,magonjwa,ulemavu ondoa kabisa
 
kuwa makini sana sana mkuuu na mwanamke unae fanya nae mapenzi na unaona kabisa HUYU

siwezi kuja kumuoa yani mwanamke unae ona hutoweza kuja muoa vaa kondom hata 5 asidake mimba asee

maana kama akidaka mimi sitokaa nikushauri umtoe na sitokushauri uoe mke mwingine.

Jisemeee moyoni (kuanzia leo ntato..mba mwanamke ambae tu anaweza kuja kuwa mke wangu)

yani we puyanga weeeeeee ila siku ikatokea bahati nzuri mdada wa watu ktk wale unaruka nao kakwambia ana mimba yako

Jisemee tu moyoni (asante baba maana huyu ndie mke wangu)
Ahsante Sana Mkuu kwa ushauri wako mzuri hakika utakuwa umesomwa na kueleweka kwa vijana wengi Sana ambao hawajaoa Wala kuzalisha mtoto.
 
Ninavyofahamu pia, watoto waliozaliwa na mama mmoja ila baba tofauti hupendana na huwa wamoja.

Ila watoto waliozaliwa baba mmoja ila mama tofauti mara nyingi hawapendani na ni ngumu kuwanganisha.

Ni kwamba mama anauwezo wa kuwanganisha watoto wake hata kama ni wa baba tofauti ila baba hawezi kuwanganisha wanae aliyewazaa na mama tofauti.

Kwa hiyo, mtoto akae na mama maana mama anaweza kuunganisha wanae.
👊 👊 👊
 
Duh nilikuwa baba kaniita eti niende nikaishi kwake naanamke mwingine NIMEGHAIRI
 
ila BABA ukirudi nyumbani mtoto huyo huyo aliekua akifinywa mashavu ukiwa haupo

utamuona mama (mkeo) akimuita na kujifanya anampakata na kujitia anamdekeza (basi hapo mwanaume unaona yeees)

Kumbe zote zuga tu, ukiondoka kazini mambo ni yale yale.

Ni basi tu watoto hawawezi kusema kwa kuogopa vitisho alivyopewa (ole wako baba ako akija nikuone fyoko fyoko fyoko)
Unaweza kulea mtoto wa mke wako,aliezaa na mwanaume mwingine?.
 
ila ukweli unajua "humpendi na wala humchukiii" ila unatimiza wajibu wako kama mzazi

mtoto anapokosea panapohitaji kuchapwa achapwe,panapohitaji kupongezwa apongezwe

Tofauti ya malezi yako na kwa mwanao nadhani umeshaona jinsi unavyokosea mahali flani

IF you realy n realy love him/her akikosea mchape usiangalie watu watasema nini "mlee ktk usawa"

akikua ataona jinsi unavyomchapa ndugu yake "hatopenda" atatengeneza image mbaya akilini mwake

Waleee kwa usawa kama jinsi usivyo jali watasema nini unapomchapa mwanao akikosea inabidi pia USIJALI

watasema nini utapomchapa mtoto wa mume wako.( lea wote kwa usawa)
Weee hivi unajua masimango ya kuwa mama wa kambo?

hata km ur loving to the child lazma watamchimba tu mtoto kwa minajili they dont trust you

nishajiapiza wayy before i met my step daughter sitomchapa sitomfokea sitofanya loloote la kinidhamu namuachia babake na mamake wapambane..km ni kusema nasema machache nmemaliza
Lawama siwezi kabisaa..
Sanasana labda nimpe goodtimes tuu
 
Naweza kwa mwanaume huo uwezekano upo tena mkubwa tu lakni kwenu ninyi maskitiko tena makubwa
Ni kwa sababu hamkai na watoto

mngekaa nao msingeweza abadani nakuapia
mana wanaume wengi majumbani wanaishi kama wageni yupo asbh na jioni ama asbh na kurudi usiku wa manane

Shida nyumbani upate picha kamili
 
Weee hivi unajua masimango ya kuwa mama wa kambo?

hata km ur loving to the child lazma watamchimba tu mtoto kwa minajili they dont trust you

nishajiapiza wayy before i met my step daughter sitomchapa sitomfokea sitofanya loloote la kinidhamu namuachia babake na mamake wapambane..km ni kusema nasema machache nmemaliza
Lawama siwezi kabisaa..
Sanasana labda nimpe goodtimes tuu
acha nimlete kale ka cha utundu wangu huko kale good time
 
Kuna mambo huonekana simple lakini ni complicated sana kama haya. Mtoa mada umeongea point I ever dated a guy aliyelelewa na mama wa kambo niseme tu kama ukirefer sociopaths I will point him first!Yale malezi yamemuaribu sana sana kutokana na mateso aliyopata alidevelop roho na attitudes mbaya. Tuombe Mungu atusaidie jmn haya mambo yanaimpact sana
 
Ngoja waje kuthibitisha Kama uliyoyaandika yana ukweli..
 
Je vip kama ume zaa na ex wako alafu yeye nae hakai na mtoto Bali ame mpeleka kijijin kwao huko Ana kaa na bibi yake afu yeye a napambana na maisha ya mume wake Mpya

Je na hapa napo uendeelee kutuma pesa kijijin kwa wazaz wa ex wako wakulele au vip?

Mana Kuna wakati sio tuu kuwa na msimamo yenye kuangalia mzingira ya Aina moja pasi Kujua Hali ya upande mwingine

Je vip wale wanawake wanasema wenyewe njoo mchukue mtoto wako mana wapo wanaume wengine hawakubali kulea mtoto WA mtu kama baba yake yupo mjin na anauwezo anamuona hawez kubali hii ime kaaje Nisaidie majibu
Chukua mwanao peleka boarding


Kwako atarudi likizo

Maana yake hata mama wa kambo akimuonya mtasema anamtesa mtoto bure...halafu kama mama yake kamtelekeza kijijini itakuwa mkeo???
 
Ila nahisi tu uangalie tu tabia ya mwanamke maana kuna wengine wanaishi na hawa watoto vizuri tu kama wao.Inabidi umchunguze kama ataweza unaweza kaa nae kama ni aina ile ya wanawake usijaribu hata kidogo
 
Back
Top Bottom